Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Hii ipo wazi anayefanya haya ni US, hata huko juu nimesema..
Lakini ni ukweli kwamba US inahofia majibu ya Iran.. Israel haina teknolojia sasa ya kuzuia mashambulizi ya mabalistiki ya Iran..
😃 😀 😄 😁 🤣 😂 😃 😀
 
Ikiwa Iran ndio mfadhili mkuu wa vikundi vya harakati, mbona Marekani , Ufaransa, UK na Ujerumani zinamfadhili Israel? Kuna tofauti gani hapo!
Mkuu.
Nakuunga mkono 100% yote uliyosema kasoro hapo ☝️ tuu

Kumbuka Israel ni nchi yenye mamlaka kiserikali tofauti na hamas na vikundi vingine, sasa ww kusema hakuna utofauti hapo uko wrong.

N sawa na kusema Rwanda kuwaunga mkono M23 ni sawa na Tanzania kuunga mkono serikali ya Congo, hayo n mambo mawili tofauti mkuu, em fikiria tena.
 

Si ndio hapo
Yaani mtu aingize hasara kwenye uchumi na taifa lake kisa Iran au Ukraine? Thubutu
 
JMK convention center,kule Dodoma, Israel ingetusaidia sana siku Kuna Mkutano mkuu wa CCM!🥰
 
Nyie wakanisa hebu tulieni leo inakuja dawa itawaingia vizuri taifa lenu la kishoga litajuta kugusa Iran.
Vp mkuu, nani tena ameuawa huko Iran em tupe info huku ukiendelea kujifariji 😂
 
US ndio kapiga Israel ni simba kwenye picture tu lakini mpaa mda hu sidhani wamepiga kwenye Nuclear facilities. Tusubiri majibu ya Iran
 
JUST IN: Wall Street Journal reports that Trump told Israel not to carry out strikes against Iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…