Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Shambulio Moja tu mkuu wa majeshi wa Iran na wanasayansi kadhaa washafariki aiseee Israeli ni hatariii
Sawa kwenye meeting lazima yatokee hayo na Israel ana watu wake kule Iran waliwapa infomation sa we utashangaa pia Nyau anajificha yeye si simba hahaha
 
Allah Akbaru mwnyw Yupo upande wa Israel 😂
 
Sawa kwenye meeting lazima yatokee hayo na Israel ana watu wake kule Iran waliwapa infomation sa we utashangaa pia Nyau anajificha yeye si simba hahaha
Nyie mlikuwa wap msijifiche?
 
Kuna watu humu walikuwa wanakataa kuwa Israel haiwezi kuishambulia Irani najua sasa hivi watakuwa wamejificha na kuona aibu.
Israel ni dude jingine kabisa hapa duniani!!! Mashambulizi haya ya Israel kwa Iran hata huku a mpaka Wiki mbili ili kuinyoosha Iran.@Blackbold Naomba utu saidzie kuunganisha uzi huu kuhusu Iran kushambuliwa
Webabu Adiosamigo mdogoye ayb
 

Attachments

  • IMG_4002.mp4
    3.1 MB
Hahahahaha,ndio maana wako makini muda wote
Sio kwamba yuko makini kuliko wengine, hapo sasahivi anamlazimisha US asogeze meli zake kuja kusaidia kumlinda, atawaambia NATO yote ipeleke ndege, huku akitaka Jordan, Saudia etc watumie mifumo yao ya ulinzi wa anga kuhakikisha wanapunguza hatari zote toka Iran! Kwaiyo yeye alichonacho kuwalazimisha washirika wake watiifu wamkinge maana yeye hatoweza kuzia mvua itakayokuja.
 
Escalation after escalation.

Netanyau na serikali yake ya misimamo mikali umeamua kuiharibu mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea kati ya Iran na Marekani.
 
Hao majenerali na wanasayansi wa nuclear ni raia?
Andiko refu akili tone
We kumbe ni bwabwa eeeh?
Ukimshambulia mwamunyange anapoishi hutoua na raia pia??
Hao makamanda wameshambuliwa wakiwa uraiani hivyo hadi raia wamekuswa matako wewe.
 
Israel hits Iran nuclear facilities, missile factories; Tehran launches drones
By Crispian Balmer, Parisa Hafezi and Steve Holland
June 13, 20258:43 AM GMT+3Updated 10 min ago

REUTERS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…