Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ทFootage of an Israeli airstrike on a site in Piranshahr that likely hit a ballistic missile depot.
 

Attachments

  • VID_20250613_095421_859.mp4
    3.2 MB
Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Umeipata kijiwe gani mkuu๐Ÿคฃ
 
Nipo Goma wiki ya tatu sasa ni masasi yanarundima bakongo, bamutu ya huku no wasiwasi.... Hatuna makuta Le papaa ndege
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwahiyo israel kaingiza kidole noma sana
 
Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Gaza pia wanaponzwa na ayatollah wa Iran.
 
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ Footage of Israeli strikes, possibly bunker busters, on Natanz Nuclear Facility near Isfahan, Iran.
 

Attachments

  • VID_20250613_095409_758.mp4
    3.8 MB
Uzuri wako uwa unawatusi jamaa wale kwa akili kubwa sana, na wameshikwa kalio kweli๐Ÿ˜‚
 
Hapa zitapigwa kambi za USA zote zilizopo IRQ ndo maana USA kasema hausiki
 
Kikobaz kimepagawa. Bado hamjasema nguruwe nyie. Mtakandwa sana makalio yenu.
๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ