Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Kwa hiyo Israel imechokozwa na Iran ?
 
Vita haipiganwi siku moja.

Baada ya Ukraine kufanya shambulizi la kushitukiza ndani ya Russia kipi kimebadilika kwao ?
 
Iran kwa sasa haelewi nini afanye na nini asifanye maana zile ballistic missile systems zote zilizoluwa zimeelekezwa Israel zimeharibiwa, defence system zimeharibiwa, wakuu wao wameuliwa. Kwa sasa yupo tu
Usiseme hawaelewi cha kufanya tuupe muda nafasi japo natambua vita siku zote sio ya siku moja
 
Shambulio la kigaidi Hilo Kama la Ukraine TU, vita sio wiki mbili bro.
Cha kushangaza sasa hao ndugu zako Iran mpaka sisi wajinga tukapata habari kuwa Iran atashambuliwa ndani ya Wiki hii yeye na kikosi chake cha ujasusi hawakushtuka tu!? Mpaka watu wanapiga jaramba kuja kukushambulia hashtuki tu mpaka leo kapigwa kipigo cha Mbwa-mbwa kachora ndiyo ,anashtuka.

Iran hana Jeshi Ila KAMDOMO ndiyo anako kakutisha watu wamuogope!!!
 
Baba wa uovu, baada ya kupewa dollar trion 4 na waarabu.

⚡️🇺🇸🇮🇱🇮🇷 Trump: The next planned attacks are even more brutal. Iran should make a deal before there’s nothing left — and save what was once known as the Iranian Empire.

@wfwitness
 
Lini Iran ilisema inataka kuwa superpower pale ME ?
 
Shambulio la leo la Israel lina tofauti gani na alilofanya Ukraine kwa Russia siku kadhaa zilizopita ?
 
Vita haipiganwi siku moja.

Baada ya Ukraine kufanya shambulizi la kushitukiza ndani ya Russia kipi kimebadilika kwao ?
Uzuri kawambia ukweli kuwa Israel anajua kuzitumia na huenda wanataka regime change
 
Yaani anapiga popote akijisikia, japo najua anapata nguvu ya USA pia. Ila kuzungukwa na muarabu kwake ni changamoto sana, atakuwa anapigana nao hadi kiama....Waarabu na Persians watawasumbua sana.
Hamna waarabu watakaomsumbua Israel, Saudi Arabia ambao ni super power pia hapo Middle East ndio marafiki wakubwa wa Israel, mwingine ni Egypt nae ni swahiba mkubwa wa Israel. Jordan ndio hao wameshirikiana na Israel kudaka hayo makombora ya Iran. Hapo Iran ndio aliebaki kuonja kichapo, na Israel alijipanga kuvimaliza kwanza vidagaa vinavyopigana guerilla war Hezbollah, Hamas na Hoauthi ili abaki Iran wapambane nae uso kwa uso. Hii " Operation Rising Lion " ni mpango wa kumfanya Iran kua joka la kibisa, kummaliza nguvu yote aliokua nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…