Kwa hili pigo ni razima ujipange kwanza ndo ujibu sio kukurupuka mkuu.Yawezekana Iran yupo overrated sana huwezi tandikwa kizembe vile
Kumbe,Kuanzisha vita sio hoja je kuimaluza vita ndio hapo kazi sa tusubiri kipigo atakacho pokea kutoka Iran
Tankers zinazofanya refuering Israel walizinunua kutoka kwa Boeing.🇺🇸🇮🇱🇸🇾 American fuel tankers are refueling Israeli jets over Syria sky freely without interruption. This is why they wanted regime change in Syria.
Kuhusu Hizbollah tulishaongea usilete mambo ambayo yalifungwa mjadala.Vita ni mkakati,
Wanapigwa kwanza juu na kuharibu miundombinu na wataalamu. Kisha wanaingia nchi kavu wakishirikiana na waasi wa nchi hiyo.
Sasa hivi wanaondoa viongozi na zana.
Kumbuka ya Hizbula
RitzNawakumbusha TU vita sio Kwenye media na siku Moja, Iran sio Syria
Makombora hayakuwa chini ya 20.Kumbe,
Hivi unakumbuka Iran juzi kati imerusha makombora 200 kuelekea Israel ?, hapo hawakuanzisha vita wenyewe.
Vipi Israel kwa sasa ikituma makombora 100, hali itakuwaje hapo Iran, kama kwa sasa umerusha makombora chini ya 20 tu milio kama yote.
Ayatollah unamuua wa nini unamuacha afe kwa stress kwa kushuhudia iran ikiteketea mbele yake😁😁kabisa wala halina ubishi
kama target ya kwanza wanauliwa viongozi wakuu wa kijeshi, vp huyo Ayatollah atakuwa kwenye wakati gani ?
Kapigwa kizembe, unaambiwa kapigwa nje ndani, watu waliunda hadi kiwanda na drone base Iran,Yawezekana Iran yupo overrated sana huwezi tandikwa kizembe vile
Nahisi wasipNingekuwa khomenei ningeomba suluhu tu hawa israel wameshindikana. Kituo kinachofuata ni yeye
Ila trump nyoko sana anakuapiga huku anakung'ong'a😁
Jidanganyeni, mtu katandikwa kisawasawa bila kujibu lolote unafikiri mchezo!Netanyahu atakuwa amekimbilia kujificha Gaza ajichanganye na Hamas kwa maana mvua inayokwenda kutokea hapo sio poa..
Regime change kwa style ipi ?Uzuri kawambia ukweli kuwa Israel anajua kuzitumia na huenda wanataka regime change
Nijifariji kwa nini na kwa lipi ?Unajifariji? Siku njema huonekana asubuhi!!!!
Una utoto ina shangaza Jf imebadilika sanaWewe endelea kujifariji tu lakini Iran kapigwa vizuri sana!!!
Mkuu mosad kule iran anatkiwa awe mkuu wa idf amenifurahishaMossad wameachia baadhi ya video za matokeo ndani ya Iran
View: https://x.com/sentdefender/status/1933478056980566099
Mossad ni Konyo