Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

The Tabriz refinery denies: No was carried out garlic attack and not Caused damage For facilities, activity continues as usual.
unaongea uongo ili iweje viwanda vya mafuta sasa hivi vinashambuliwa na Israel baada ya Iran kushambulia maeneo ya Raia!!!!
 

Attachments

  • telegram-cloud-document-4-5940385660987776108.mp4
    265.9 KB
Endelea kujifariji!!!!
 
Kidume anasaidiwa na nchi za kiarabu kama zote na US kuzuia missiles lakini zinapenya kama nyoka anaingia pangoni..
sasa iran na hamas wana tofauti gani mwenzake israel yupo ndani ya tehran anarusha drones na makombora ya ndege kutoka iran, israel anachagua watu wa kuwaua na anawaua, anachagua sehem za kupiga na anazipiga kutoka kwenye ardhi yao, sasa iran na yeye si apeleke ndege kwenye anga ya israel achague sehem muhimu za kupiga? iran anarusha tu popote litakapotua kwake sawa
 
Changamoto ni kwamba tunazungumza na wasiyojua!

Na si ajabu akiiona hii comment akauliza tena, wewe unayejua umefikia wapi? Ndiyo akili za watanganyika hizi! Halafu wanataka mabadiliko!
Nilikukumbuka sana arbaab za siku lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…