Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

Maadili yazidi kufunzwa katika jamii,mwanamke ambaye anaona hawezi kua mwaminifu akatae kwa nguvu zote kuolewa,aishi kimalayamalaya tu,mbona tunaona wadada na wamama wanaishi kimalayamalaya tu na maisha yanasonga,na jamii inawajua.
Wanaume wenzangu,tuwe sehemu ya kuifunza jamii maadili,tusioe malaya wanaojifanya wanafiki,mwisho tunakuja kuingia kwenye matatizo.Malaya ni wakuwagonga tu,halafu unaoa yule anayefaa.Pole kwa ndugu na jamaa wa mtoto na baba,na hongera kwa ndugu wa huyo mmama wa huyo mtoto aliyeuawa kwa kuozesha mtu malaya ambaye ameleteleza hayo yote.
 
Usmeongea pointi sana mkuu.
Kwa kuongezea tu, huwenda moja ya sababu iliyomfanya achukua maamuzi hayo ni vile alivyokua anapelekeshwa na mwanamke kipindi chote cha ujauzito. Inawezekana majukumu yote ya nyumbani kwa asilimia kubwa alikua anayafanya mwanaume ili mwanamke apate muda mwingi wa kupumzika.
Inawezekana jamaa aliingia kwenye madeni ili mradi ujauzito ukue bila stress. Inawezekana jamaa katukanwa sana na mwanamke kipindi cha ujauzito, jamaa akavumilia akiamini ni ujauzito tu ndo unaompelekesha mkewe.
Sasa ukijumlisha na mtazamo wako pia, sidhani kama jamaa angeweza kuhandle kirahisi.
Dunia inaenda kasi sana, na maadili nayo yapo sambamba na dunia. Ndoa zimebaki majina. Asilimia kubwa ya ndoa ni matatizo matatizo 247.
 
Malizaneni tu mapenzi ndo yalivyo hasa hako kadogo kamefanyaje ? Unaenda jela demu anaendelea kuliwa papa
 
Umeongea point sasa ivi ukioa demu chatoka bado ataendelea na jmaa zake ukiona demu ana sijui maex kibao mjaze tu mimba usije kuoa kashaonja kila size atazifuata tu ipo siku

Tuache uzungu bora uchukue kadogo hakajui mambo lakini limekomaa kila limetembea na majamaa kama 10 utajuta ipo siku
 
Angepaswa kumuacha mwanamke ila siyo kumuua mtoto
 
Aisee huyo jamaa akapimwe akili.kosa la mtoto hapo ni lipi?
 
He never loved the kid. Ukishajenga bond na mtoto ukiambiwa sio wako kinachouma zaidi ni kuona ile bond inavunjika kuliko kuambiwa sio wako, sasa huyu kaua kabisa ni dhahiri hakumpenda mtoto hata kidogo.

Mauaji imekua fashion sasa kuna tatizo kubwa sana kwenye jamii linaendelea, kinachotisha zaidi watu mitandaoni ambao ndo hao hao wa mitaani wanatetea mauaji kwa nguvu zote.

Wengine wanasema angemuua mwanamke that's not right at all levels either. Hakuna sababu inayohalalisha kutoa uhai wa mtu. Kwa mwendo huu watu wataisha.
 
Kweli kabisa... Na mbaya zaidi dunia inamuona mwanamke nidhaifu kwakua hana misuli kama mwanaume huku wanapuuzia uwezo wake wa hatrari unaomzidi mwanaume
 
aad
Kikubwa usimdharau anayejitoa kwa ajili yako hasa kwenye mapenzi...
maisha ni magumu mnoo, dini hakuna na maadili hakuna ivo tuishi kwa tahadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…