Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Duu jamaa katili sanaHapo ni ukweni kwake, rubambangwe chato.
Magu kutaka kujimilikisha hapo kwao ndiko kulipelekea kuwasweka ndani wadogo zake na akawafukuza.
Bifu likamalizka alipokuwa rais, teeth walikuwa wanayasovu mambo kimyakimya.
Mmhhh mnakuwaga na hasira kali #sukuma gangKwa io magu rais wa jmt alikua na njaa mpaka akaingia mgogoro na wadogo zake kisa kugombea ardhi
hapo chato
Dah mda mwingine tumieni hata akili kufikiri, ila uzuri huku Kila mtu kajificha nyuma ya keyboard, mtaani stori za kijinga kama hizi watu hawakawii kukutia vibao
nenda pale tamisemi muulizie musa kama hakufuatwa ni kalandinga msoma alikokuwa anafundisha chuo buhale. Kamuulze rpc moro mkama, akiwa ocs chato kama hakuwa amebeba pingu na askari kadhaa kumfuata musa.Kwa io magu rais wa jmt alikua na njaa mpaka akaingia mgogoro na wadogo zake kisa kugombea ardhi
hapo chato
Dah mda mwingine tumieni hata akili kufikiri, ila uzuri huku Kila mtu kajificha nyuma ya keyboard, mtaani stori za kijinga kama hizi watu hawakawii kukutia vibao
Nafurahi saba kumuona Mama yetu Janeth akiwa na Amani, furaha na matumaini...Asante Mungu kwa kutuletea furaha tena🙏Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato leo Machi 18, 2023.
Mama Janeth amewaasa wanafunzi wasichana katika Shule za Msingi na sekondari nchini kote kujiepusha kabisa na mambo yanayoweza kuathiri maendeleo yao kimasomo.
Mama Magufuli amesema mambo mengi ya Kisasa hususan ya mitandao yamekuwa yakitengua mawazo chanya ya wasichana, na kuwashawishi waishi maisha ya mtandao ambayo mengi yao si maisha halisi.
“Kwa hiyo binti zango elekezeni akili, maarifa na juhudi katika masomo na sio mambo mengine yanayoweza kuathiri maendeleo yenu kimasomo kama vile mambo ya mitandao ambayo mengi sio yenye kuonesha maisha halisi”, alisema Mama Magufuli leo Machi 18, 2023 nyumbani kwake Chato, Mkoa wa Geita.
Mjane huyo wa Hayati Dkt. Magufuli alikuwa akiongea machache baada ya kutoa misaada ya taulo za wasichana na Baiskeli za magurudumu kwa Shule tatu za Sekondari za Wasichana zilizomo wilayani Chato.
View attachment 2556498
View attachment 2556499
View attachment 2556500
View attachment 2556501
View attachment 2556502
Haya tumekusikia dada,unajua hadi siri za ndani. Enjoy your asali.Mtu ambaye alikuwa karibu naye muda wote aliishi kwa hofu kubwa na sonona hata mwili ulishindwa kunenepa,ameanza kunenepa baada ya jamaa kufa,je wewe kiroboto hujiulizi badala ya kubaki kupiga kelele za kumtetea huyo marehemu!
Pole sana mfuasi wa dikteta Janeth anafurahia maisha baada ya lile joka kufa.Haya tumekusikia dada,unajua hadi siri za ndani. Enjoy your asali.
Je, wewe ni mtu wa karibu wa Mama Magufuli hadi uweze kujua sababu ya yeye kunenepa?Mtu ambaye alikuwa karibu naye muda wote aliishi kwa hofu kubwa na sonona hata mwili ulishindwa kunenepa,ameanza kunenepa baada ya jamaa kufa,je wewe kiroboto hujiulizi badala ya kubaki kupiga kelele za kumtetea huyo marehemu!
Mnajua hadi mambo ya mtu na mumewe.Mwache Mama Janeth apumzike alisota sana enzi hizo.
Ukiondoa kuongezeka mwili ni kipi chengine kilichoongezeka ambacho hakikuwepo mwanzo?Mama ana siha nzuri kuliko wakati ule
Bimkubwa alipitia wakati mgumu sana maishani mwake kuishi na nunda nyumba moja tena kitanda kimoja. Mama wa watu kanawiri baada ya lile subiani kusongeshwa kuzimuHuu ni ukweli kwamba JPM ataenziwa vizazi na vizazi. Hawa watoto wadogo wanajua historia yake na wamepata hadi mwamko wa kwenda kumfariji Mama Janeth. Hakika Mungu si athumani.
View attachment 2561685
Angewezaje kuishi nae miaka mingi yote hiyo?Bimkubwa alipitia wakati mgumu sana maishani mwake kuishi na nunda nyumba moja tena kitanda kimoja. Mama wa watu kanawiri baada ya lile subiani kusongeshwa kuzimu
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Unazani watafeli sasa?. Wameshasoma hadi wameelewa.Aache watoto wa watu wasome..
Huwez kuuwa watu ukabaki hata siku moja.
Umetumwa uje kwenye huu uzi?Sukuma Gang mbona mnatumia nguvu nyingi sana?
Umetumwa uje kwenye huu uzi?
Kaa tulia tu.