Jasmine Razack: Yanga wana Roho mbaya, wamegoma kumuuza Mzize, wanataka dola Million moja

Mashabiki wengi wa simba ni mbumbumbu! Na huyu SAYVILE anayejiita PASADENA kwa sasa ni mfano halisi.
 
Haijalishi ameanza kumuwakilisha lini, anachofanya ndiyo kazi yake inavyomtaka.

Mmeharibiwa na mifumo mibovu ya utawala ya nchi hii ambayo hata vyama vya wafanyakazi vilipokuwa vimasimama kutetea maslahi ya wafanyakazi walioneokana wakorofi.
 
Unaijua signing fee ya Mzize mkataba mpya?
Mbona unaruka ruka. Nimekujibu hiyo bilioni wanayoweka Azam inatokea wapi kwa kutumia data ulizonipa wewe mwenyewe. Na wewe niambie bilioni 2.5 mnazotaka za Mzize zinatokea wapi.
 
Mbona unaruka ruka. Nimekujibu hiyo bilioni wanayoweka Azam inatokea wapi kwa kutumia data ulizonipa wewe mwenyewe. Na wewe niambie bilioni 2.5 mnazotaka za Mzize zinatokea wapi.
Narukaruka nini?Hizo bil 2.5 kataja Zakazakazi.
 
Hawa wanadhani tunampigania Mzize kisa mambo ya Uyanga na Usimba. Wengine wanadiriki kusema tunaombea aondoke ili Yanga idhoofike. Kwa hiyo wanaona ni wajibu wao kutetea lolote linalofanywa na viongozi wao.
 
Reactions: Tsh
Narukaruka nini?Hizo bil 2.5 kataja Zakazakazi.
Bilioni 2.5 ikijumlisha Bilioni 1 ya Yanga na hapo alitaja kama makadirio tu kwa kusema kama kuna Bilioni 1 ya Yanga, akasema haimake sense wao wapate chini ya wayakayopata Yanga ingawa si kweli. Yeye ni msemaji tu hana mamlaka ya kufanya hayo makadirio, Azam wakitaka kuachana naye wanaweza kumuuza hata kwa faida ya 200M.
 
Haijalishi ameanza kumuwakilisha lini, anachofanya ndiyo kazi yake inavyomtaka.
Boss, Wakati mzize anasaini mkataba unaomtaka atoe mabilioni kama ikitakiwe auzwe alifanya kazi yake? Mkuu usiwaamini sana Agent, pengine ni kweli anapigania 10%. Pengine.
 
Hawa wanadhani tunampigania Mzize kisa mambo ya Uyanga na Usimba. Wengine wanadiriki kusema tunaombea aondoke ili Yanga idhoofike. Kwa hiyo wanaona ni wajibu wao kutetea lolote linalofanywa na viongozi wao.
Mkuu, Mzize binafsi ntamtetea nikisikia mkataba wake unamruhusu aondoke halafu Yanga hawataki. Ila mpaka sasa mazingira yaliyopo ni Agent kukata viuno bila fact.

Agent aseme kwanini Yanga wamuuze Mzize kwa bei hiyo, na asiseme sababu za huruma huruma, aseme sababu za kimkataba maana akisema za huruma huruma atakuwa mnafiki, unless sio yeye alimsimamia wakati anasaini mkataba.
 


WE KIDAMPA TU UNAJIPA USEMAJI WA TEAM. SHIDA MKITEMBEA NA ALI KAMWE AU HERSI BASI MNAJIONA MNAIJUUUA YANGA. ETI ZA NDANI, ZANDANI NI SHUMIZI ZAKO TU.
 
Ndio ujue mpira biashara, Neymer alikuwa kila akisaini mkataba mpya Santos wana percent yao.
Sasa asiyejua mpira biashara ni nani? Umeniuliza hiyo bilioni ya Azam inatokea wapi nimekupa mahesabu. Na wewe nakusubiri unipe mahesabu ya bilioni 2.5 mnazotaka za Mzize. Naona unakimbilia mambo mengine.
 
Agent wake mbona amenyooka na anafanya kazi yake. Haimake sense Yanga kukataa zaidi ya bilioni kwa Mzize kama siyo uswahili na hata kukomoana tu. Hawa hawa Yanga wanaobwabwaja humu walikuwa wamemkataa Mzize kama sikosei mwaka jana tu. Ni mmoja wa wachezaji waliokuwa tayari kuona wanamuacha.

Inabidi uwajue vizuri Yanga. Wana mentality moja, hawapendi kuonekana wanawapinga viongozi wao. Wanaamini kiongozi anajua na anafanya maamuzi sahihi hata kama nyuma ya pazia unakuta ni maamuzi yaliyojaa fitna, umbea na roho mbaya tu. Ukitaka kumjua vizuri mwanayanga, mwangalie mwana ccm. DNA ile ile.

Waulize Aziz Ki kauzwa kiasi gani, hawajui lolote ila ndiyo walikuwa wanasema haya haya ya Mzize. Waulize walipata kiasi gani kwa kumuachia Feisal, hawajui.
 
Sasa asiyejua mpira biashara ni nani? Umeniuliza hiyo bilioni ya Azam inatokea wapi nimekupa mahesabu. Na wewe nakusubiri unipe mahesabu ya bilioni 2.5 mnazotaka za Mzize. Naona unakimbilia mambo mengine.
Ulisema kwa mwaka 1bil? Nichambulie 1 bil kwa mwaka na huo mshahara wake wa 15m.
 
Hahaha. Kishabiki maneno yako yanafurahisha kweli sababu Yanga si timu ninayoipenda.

Ila tukirudi kwenye Fact,

Nikuulize, Agent wa Mzize yule aliyesaini mkataba uliopita na Yanga ndiye huyu huyu anayetaka Mzize aondoke kwa ofa iliyoletwa mezani ambayo Yanga wanasema mchezaji hana hiyo thamani ni ndogo?

Kama ndiye, inamaana kuna maslahi yake aliyapata kwa Mzize kusaini huo mkataba. Sasa ni kwamba hajui Mzize alisaini mkataba wa thamani gani?

Kuhusu Aziz, mkataba wake sidhani kama unafanana na wa Mzize. Inamaana makubaliano ya vifungu vya mkataba wa Aziz si sawa na vile vya Mzize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…