Wanashangaza sana wengine hawana kazi wanashinda na kuamkia JF utasema ni server 😹😹😹Wabongo wanapenda kutumia nguvu kubwa for trivial matters (kuua nzi kwa nyundo). Mambo ya msingi hawapigi kelele ila mambo ya hovyo ambayo wana option ya kuangalia au lah ndo wanaweka nguvu zote hapo. Hili ni tatizo la akili.
Bro bro my previous comment was more of telling youUkishasema ni experience yako acha kusema "most gays"! Sema tu wewe ilivyokuwa kwako, labda kama ungesema umekutana na mashoga 20 ishirini na hayo ndio uliyoyabaini.
Changamoto ndo hiyo. Ndio maana niliona wanajifanya kukemea naona ni unafiki tuAsa
Asa kama serikali yenyewe ndo watumiaji wakuu wa huduma wakubwa serikalini ndo wanaowafira na wengine wanafirwa ndo utasema wadhibiti????
Watadhibiti kivipi akati ndo utamu wao
😹😹😹😹 MtumeeeAnajifanya nywi, nywi nywi kumbe naye mliwa utumbo khaaa
Unafki mkubwa hapa upo.Changamoto ndo hiyo. Ndio maana niliona wanajifanya kukemea naona ni unafiki tu
Kwa wale wanaosema kwamba ushoga ukionekana ni jambo la kawaida utahamasisha vijana wa kiume kuwa mashoga zaidi na zaidi, hii siyo kweli.
Nchi ya Ufaransa iliondoa sheria za kuadhibu mapenzi ya jinsia moja mwaka 1791 wakati wa French Revolution, na tangu hapo suala hili halihesabiwi kama kosa la jinai, lakini hadi leo idadi ya wanaojitambulisha kama mashoga ni takriban asilimia 4 tu ya wananchi wote.
Kibaiolojia na kisaikolojia kwa kiwango kikubwa wanaume huvutiwa na wanawake na wanawake huvutiwa na wanaume, huku sehemu ndogo ya watu ikiwa na mvuto kwa jinsia moja, na muundo huu umeonekana kuwa kawaida katika jamii nyingi duniani.
Pia ni muhimu kutenganisha dhana ya ushoga na aina fulani za vitendo vya kingono. Siyo kila mahusiano ya kimapenzi ya wanaume hujumuisha kufirana (anal sex), kama ambavyo hata mahusiano ya wanaume na wanawake hayafuati mfumo mmoja tu. Tabia za kimapenzi hutofautiana kati ya watu binafsi.
Kuhusu maadili na tamaduni, si sahihi kusema ushoga ni “utamaduni wa watu fulani (wazungu)" Tu.
Kihistoria, jamii nyingi duniani zikiwemo nchi nyingi za Ulaya ziliwahi kupinga Ushoga, lakini mabadiliko yaliyotokea katika baadhi ya nchi za Ulaya yalichangiwa na kuongezeka kwa mifumo ya secularism na kuimarika kwa sheria za haki za binadamu, siyo kwamba ulikuwa utamaduni wao wa asili. Hivyo, mitazamo ya jamii kuhusu ushoga hubadilika kadri uelewa wa kisayansi, sheria, na maadili ya kijamii unavyobadilika.
Sio kupumbaza ni vita za kiuchumi kati ya mashoga na mashoga..!!Kiukweli hili suala la ushoga naona kama linatumika kupumbaza watu wasiongelee mambo mazito yanayowaandama maishani. Kwa mfano tatizo la utapiamlo bado ni kubwa mno nchini ila watu hawazungumzii kabisa.
Anatembea na mawig yake mtaani au kwenye nyumba za Ibada anaenda nayo?Joti anaigiza uanamke lakini maisha yake ya kawaida anaishi kama mwanaume...huyo dogo T anachopost ndicho anachoishi na maisha yake ni kama mwanamke
Indeed 😹😹😹😹Peace isn't your option always 😁
Ni wivu tu wa mashoga wa humu, mtu asifanye biashara tayari wanahisi anataka kuwaibia madanga yao..!!watu ni wanafiki sana joti na yule dullah cjui, wanachekewa na hakuna malalamishi ila anko t wanampandia juu sijawahi msikia akitangaza kutaka mwanaume.
Hapo sasa..!!Kuna mambo hayana msingi kabisa.
Mnataka kupambana na mambo ya gizani?
Nani anaweza kumzuia asfrwe? Mknd si wake? Sasa shida iko wapi?
Tungeanza kutokomeza Rushwa, katiba mpya, bima ya afya huduma bora kabisa za kiafya, maji salama, umeme, miundo mbinu, kilimo.
Wanawake ni watamu mno mpaka watu wanabaka halafu jitu limeamua kufirwa mnataka kupambana nalo.
Acheni upuuzi. Acha afrweee
Si kama mi na wewe tunavyomgombania mwafulaniKwa hio wanawake wanagombania mipini na magasho? Ebu wafafanulie vizuri
Wewe jamaa nimegundua kwa nini ulijiita makebo,kweli wewe ni makebo.Usilazimishe hio sura ya kichoko ni kigalatia 100%
Unamsilimisha na kumpa jina haibadilishi uchoko na wagalatia ni pipa na mfuniko
Kwenye hili la ushoga ulitaka China ichukue hatua gani kwa Tanzania?
Yaani mfirane na anko T wao wachukue hatua, hatua gani?
Acheni kufiranaNimesema wewe mchina toa tamko sio China. Tamko lako is just as good as matamko ya China hayana tija yeyote.
Ndio nyinyi mipumbavu ya kilugaluga mmejaa mijini kutoka huko maporini hata kiswahili kimeharibiwa kwa sasa mnaingiza vilugaluga vya maporini kwenye misamiatiWewe jamaa nimegundua kwa nini ulijiita makebo,kweli wewe ni makebo.
Huyo ni mwenzako kuanzia anazaliwa,halafu nikuulize swali,kwa hapa tanzania ,ni mikoa gani inayoongoza kwa ushoga kwa kuangalia mikoa yenye waislamu wengi na mikoa yenye wakristo wengi,,tukianzia zanzibar kwa ndugu zako ambapo ushoga ni kama chakula kwao?
😹😹😹😹 Mtumeee
Kuna ***** limechafukwa linaponda wenzie hii ajabu sana..!!
JF kichaka machoko wanaweza kukemea uchoko muda huo naye ni ***** khaaaa..!!
😹😹😹 Mnajuana na milupo yako..!!Hata humu Kuna vijiwanawake vinajifanya kukemea ushoga kumbe na vyenyewe ni vile vile tuu, vilishaga test ladha ya mboo ya mkund....ni, vingine ndo michezo Yao kuliwa mkund...ni