Je, Habari ya watu waliochaguliwa na Mungu ni ya kweli?

I
Hiyo convo ya hapo mwisho mwisho ilikua kama naongea na mtu anaenifaham hiviπŸ˜…πŸ˜…
πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
Nifundishe jinsi ya kufanya meditation πŸ˜…πŸ˜…
 
Ooo pole uko nje ya nchi
Samahani
Sasa wewe ulikuwa unataka tukutane tu hujui hata niko wapi?

Yani unafikiri JF watu wote tuko sehemu sawa na wewe?

Halafu hujanijibu.

Unataka tukutane tufanye nini?

Watu wengine wanaweza kuwa na tafsiri nyingi sana kuhusu kusudio lako.
 
Special mission yako ni kuzalisha
Kwa muda mfupi niliozunguka, nimegundua maeneo mengi hayana watu kabisa, unaweza kuta kwa kila mita za mraba 60,000 unakutana na mtu mmoja tu.
Ni vizuri kuongezeka; uzazi wa mpango ni dalili za uchoyo na kufanya dunia isiwe na watu.​
 
I
πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
Nifundishe jinsi ya kufanya meditation πŸ˜…πŸ˜…
Haya uje darasani sasa.
 
Kila la heri
Kwa muda mfupi niliozunguka, nimegundua maeneo mengi hayana watu kabisa, unaweza kuta kwa kila mita za mraba 60,000 unakutana na mtu mmoja tu.
Ni vizuri kuongezeka; uzazi wa mpango ni dalili za uchoyo na kufanya dunia isiwe na watu.​
 
Bas
Sasa wewe ulikuwa unataka tukutane tu hujui hata niko wapi?

Yani unafikiri JF watu wote tuko sehemu sawa na wewe?

Halafu hujanijibu.

Unataka tukutane tufanye nini?

Watu wengine wanaweza kuwa na tafsiri nyingi sana kuhusu kusudio lako.
nimefuta kauli yangu sihitaji kukutana na wew mr kiranga na wala sikuwa na kusudio lolote baya
 
Bas nimefuta kauli yangu sihitaji kukutana na wew mr kiranga na wala sikuwa na kusudio lolote baya
Kwa nini unaongelea kusudio baya?

Kwani wapi mimi nilisema una kusudio baya?
 
Kwa nini unaongelea kusudio baya?

Kwani wapi mimi nilisema una kusudio baya?
Tafsiri nyingi ulilenga nn
Hata ningeandika lililolengwa
bado ungekuja na maswali yako
Acha utata kiranga
 
Tafsiri nyingi ulilenga nn
Hata ningeandika lililolengwa
bado ungekuja na maswali yako
Acha utata kiranga
Tafsiri nyingi nililenga tafsiri nyingi.

Kwani wewe umechukua tafsiri gani kati ya hizo nyingii?
 
Hii ndio special mission yakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…
Nilijua una darasa kama darasa lenye wanafunzi wengi kumbe sivyo🀣🀣🀣
Hapo sasa namuachia mwanafunzi apange kwasababu yeye ndio anaelewa mazingira yatakayomfanya awe comfortable ili aelewe kwa uharaka.
 
M
Tafsiri nyingi nililenga tafsiri nyingi.

Kwani wewe umechukua tafsiri gani kati ya hizo nyingii?
Nichukue ipi wakati wew ndie uliyeanzisha hilo neno la watu kuwa na tafsiri nyingi
Labda uliyesema uziainishe
 
M
Nichukue ipi wakati wew ndie uliyeanzisha hilo neno la watu kuwa na tafsiri nyingi
Labda uliyesema uziainishe
Nikiziainisha utanigezea.

Taja yako uliyofikiria niijue πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii ndio special mission yakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…
Nilijua una darasa kama darasa lenye wanafunzi wengi kumbe sivyo🀣🀣🀣
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Special mission tena!, how?, ila kuhusu darasa ni wewe umeomba kufunzwa na elimu hainyimwi na ndio maana nikakupa all options zilizopo duniani zitumikazo kwaajiri ya kufundishia zibaki kwenye machaguo yako.

Sikujua kama ulidhani niko na darasa la wanafunzi tele ndio maana nawewe unaomba kufunzwaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kama ni hivyo sina, kwasababu siwezi changanya missions πŸ˜…
 
Amina Amina lengo lako tuonane ijumaa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…