Je, hii kauli ya Lissu ni kukosa hekima, kutokujali au ndio changa la macho kwa wananchi baada ya tuhuma za kulamba asali?

Mkuu Mzalendo Uchwara , kiukweli hapa una hoja ya msingi sana. Lissu is very bold and very good speaker ila ni msema hovyo na hana hata chembe ya busara!.

Mimi ni kaka yake toka sekondari Ilboru, hivyo Lissu ni mdogo wangu, kitu cha kwanza namkubali sana dogo huyu ni kichwa mbaya wakati mimi ni kama kilaza fulani, ila kwa upande wa busara, ninajaribu kumsaidia sana Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? hata kwenye kugombea na JPM, mimi pia nilichangia kumshauri, Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli! ila nilipomsikiliza akiongea na media za nje, nikaamini huyu hatarejea nyumbani Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela! alipotaka kurejea alihofia usalama wake hadi ahakikishiwe na Sirro, nimemshauri Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home! na kweli akakubali kurejea.

Hata kwenye ule mchakato wa katiba, tulimsaidia Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele! na hata kwenye kuupinga udikiteta pia tulisaidia Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele! hivyo Tundu Lissu anahitaji sana kusaidiwa.
P
 
mabeberu ambayo mamayenu kila siku anaenda kuombaomba pesa za matundu ya choo.
 
Basi kengeza atakuwa kaumia sana maana anajua hela waliyochukua ilipaswa lisu aka punga anyamaze kimya jamani jamani mhh
 
Mayala maana yake njaa.
Huna hoja wewe labda kuhadaa watu eti lissu anahitaji kusaidiwa wewe unachoweza ni kuleta notes za administrative law i.e.on public law remedies of certiorari,mandamus and prohibition wakati ukiwatetea wale malaya halima mdee na wenzake,apart from that nothing you can give substantive unless those who do not make scrutiny and curiosity.
NB, watu wa chadema hawahitaji ushauri wa ccm maana kama lissu asiposaidiwa kama unavyotaka si ndio faida kwa nguruwe wa uvccm na sukuma gang mliokuwa mnaaminisha watu kuwa chadema imekufa wakati huo huo mmeshindwa kufatilia mikutano ya chongolo iliyobuma badala yake mnafatilia mikutano ya lema, hahahaaa.
 
..I agree with you 100%.

..Watanzania inabidi tuwe na uchungu na nchi yetu.

..Ukisoma mijadala yetu unaona tunatilia mkazo mambo yasiyo na manufaa, na kuacha yale yenye manufaa.
Huu ndio ukweli Watz wengi wepesi Sana vichwani,

Mimi nilishasema toka siku ile ya BAVICHA kumwalika Mwenyekiti wa Ccm Taifa,

Kwanza hamna maridhiano bali ulaghai tu ccm Ni magwiji wa siasa chafu na itabaki hivyo.

Pili,inachofanya Ni kuwasalitisha au kuwatenganisha Mbowe na Lisu,na hii ni strategically mmoja anapewa Asali nyingi mwingine kidogo ,huku wakivuta muda wasuchaguzi..

Tatu,Ccm inachelewesha haya mambo ya Tume Huru na Katiba Mpya kwa kuwazubaisha viongozi wa Upinzani,ukiona imefika 2024 ccm haiwezi kufanya Katiba Mpya Kama hoja yake(yaani inajipanga na uchaguzi tu kwisha)..Lisu akipiga Sana kelele atamaliziwa buyu lake na hapo muda utakuwa ushaenda..


Narudia hayo mnayoita Maridhiano Ni usanii Mtupu..

Na Ni ulambaji wa Asali kwa tuliowaamini na atayepata Asali kidogo hatoyaunga mkono..

Hakuna mwanasiasa wa kuonja kura yangu Wala ya mwanafamilia Yangu..
 
Mifumo ya tehama tuliyonayo inawezesha mawasiliano ya kuonana live (video conference or zoom) na madaktari wake wa Ubeligiji) wakati wa hiyo check up yake. Inawezesha madaktari wake wa Ubeligiji kumfanyia hiyo check up akiwa hapa hapa Tanzania (telemedical consultation & treatment).

Kuhusu gharama ya matibabu yake hapa Tanzania, chama chake kingamlipia bila wasi wasi wo wote tena kwa viwango vya VIP patient. Gharamq ya matibabu yake huko Ubeligiji analipiwa na Akina Robertson ambao tutakapompa uraisi watakuja kubeba maliasili zetu zote free of charge na kutufanyia u LGBTQQIP2.
 
Huyu ni kirusi hatari zaidi kuliko kile cha covid 19 ndani ya hicho chama. Si mwana siasa hata kidogo bali ni mwanaharakati kama Fatuma Karume, Maria Sarungi na Kunambi. Akipewa nchi, Tanzania itakuwa jamii ya LGBTQQIP2+.
Huku mamayenu anaenda kukopa kwa hao LGBT na pia anaenda kupokea makamu wa rais anayeunga hao LGBT, ni mpumbavu pekee anaweza kuwaamin ccm na wafuas wao.
 
..kama Samia ameridhia bango hilo basi atakuwa amekosa busara.


..vilevile atakuwa ni laghai, na mpenda sifa na umaarufu.
Unasema kama,

Wakati unaona kabisa kimewekwa?
 
Kwa post yake hii, shida nini ,ameongea fact
 
Nakubaliana na wewe mkuu.

Wanasema uchaguzi haukuwa wa haki lakini wapo pamoja na aliyetokana na huo uchaguzi wanasema sio wa huru na haki.
 
..hilo bango ni mali ya nani?

..amepata ridhaa ya Lissu kumuweka kwenye bango?

..nadhani itafutwe namna kumshtaki.
Wanakula hela tu ila kwenye mabango hawataki?

Ukitaka kula sharti uliwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…