Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Mzalendo Uchwara , kiukweli hapa una hoja ya msingi sana. Lissu is very bold and very good speaker ila ni msema hovyo na hana hata chembe ya busara!.Akiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni.
View attachment 2564267
Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini?
Si amesema hadharani kuwa mchakato unakuja na utakuwa shirikishi? tena ameyasema hayo baada ya maridhiano na chama cha Lissu!
Kwamba Lissu hana uvumilivu au hakubaliani na msimamo wa chama chake ama ni kukosa tu hekima na busara?
Alafu hili la kudai hela zake kila mara hili ni nini hasa? Kwamba ndio sera yake endelevu? Si alisema amelipwa huyu? 🤣🤣🤣
Na hiyo viza ya Ubelgiji inachukuwa miezi mingapi kuihuisha?? Au ndio yaleyale ya akina Liberatus Mwang'ombe ya kurudi wakati wa uchaguzi alafu wakiangukia pua haooo wanakimbilia zao 'makwao' kwa mabeberu?
Mimi ni kaka yake toka sekondari Ilboru, hivyo Lissu ni mdogo wangu, kitu cha kwanza namkubali sana dogo huyu ni kichwa mbaya wakati mimi ni kama kilaza fulani, ila kwa upande wa busara, ninajaribu kumsaidia sana Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? hata kwenye kugombea na JPM, mimi pia nilichangia kumshauri, Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli! ila nilipomsikiliza akiongea na media za nje, nikaamini huyu hatarejea nyumbani Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela! alipotaka kurejea alihofia usalama wake hadi ahakikishiwe na Sirro, nimemshauri Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home! na kweli akakubali kurejea.
Hata kwenye ule mchakato wa katiba, tulimsaidia Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele! na hata kwenye kuupinga udikiteta pia tulisaidia Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele! hivyo Tundu Lissu anahitaji sana kusaidiwa.
P