Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Bora umeandika ukweliMimi nimeweka ela ya kuchukua kila mwezi na nina account mbili na nishatoa ela niliyoweka nakula faida tu. Ila sialiki mtu kwa sababu najua muda wowote itabuma maana huu ni utapeli, ni pyramid scheme ya kuvutia watu. Wa kwanza kula wa mwisho kuliwa. si ya kwanza wala ya mwisho. ni same kabisa na kalynda na nyingine nyingi tu hata hii ikiisha itakuja nyingine.
Sasa wana scheme ya kuwekeza mwa miezi 3, 6 na mwaka ambapo faida utakuwa unaiona lakini huwezi kuitoa. ukiwekeza mwaka unapata return ya over 1600%, kwani celine hajakwambia kuhusu hili?
Sasa hapo ndipo nadhani wizi utakuwepo. Kuna watu wanaweza ahdi chukua mkopo waweke na watu hao ni kama wewe ambaye tayari wamekuonjesha asali, unaweka tusema milioni 5 ukitegemea kuvuna milion zaidi ya themanini na kitu. hizi utazikuta kwenye kipengele cha wealth fund.
Hapo ndipo watu watapigwa an kulia na ksuaga meno. Hawa na matapeli, wa kwanza kula wa mwisho kuliwa. LBL imeanza nadhani mwezi wa saba, hizi raha uanze nazo sio ishafikisha mieiz 6 unaweka ela nyingi kuna watakao kuja kulia. kama si sasa baadaye lakini ni utapeli.