GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Maandamano ya namna hii si kawaida kutokea tanzania, bora uchaguzi ufanyike kwa amani tuone nini cha kufanya baada ya uchaguzi, labda suala la maridhiano ya kitaifa yawepo kuponya taifa na mambo yaliyotokea kuelekea uchaguzi huu
Uchaguzi upi? ccm v ccm? Samia vs suluhu? Tanzania kuna uchaguzi? ccm wanagombea na nani?
 
πŸš¨β€ΌοΈMWANZA NA DARπŸ‘‡πŸΎβ€ΌοΈ
Haya nawasaidia sogeeni namna hii
No fear πŸ”₯πŸ’ͺ🏽
#OktobaTunatoka
 
Si mliambiwa mapema hakutakuwa na nywinywi nywinywi wala nywinywinywi mkawa wabishi. Sasa mnaanza kuja na ngonjera zisizo na kichwa wala miguu.
 
Wapi kura leo ni watu wazima na wale wanaodharaulika mtaani. Hakuna kijana hata mmoja anayejuelewa aliyeenda kupiga kura
Tanzania hakuna uchaguzi
Tanzania kuna maigizo ya uchaguzi
Wapinzani wa kweli wapo jela kwa kubambikiwa kesi za uongo na maccm
 
Huku nako ni kujizima data. Tangu lini movement za kwenda kupiga kura zikafanana na movement za kuandamana ?
Kwani wapiga kura wapo ...kama wapo basi maandamano yame feli 😁 kama awapo basi ni dalili njema ya kuanguka kwa KAHABA
Ima
 
Mambo haya niliachaga kujipa matarajio leo sina maumivu.

1.Mapenzi
2.Pesa ambayo haipo mkononi mwangu
3.Siasa
4.Watanzania

But wote sisi hatujaandamaana maana yake wote tumeridhika na kinachoendelea asitokee mtu miongoni mwetu akaleta mdomo.
 
Katiba hairuhusu: Makamui wa rais akirithi kiti cha urais zaidi ya miaka mitatu,ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja Tu.!
Yupo ikulu kinyume cha katiba katiba sheria ilimruhusu akae mwaka mmoja afanye uchaguzi lakini kakaa miaka kibao na sasa anatumia Polisiccm kukandamiza demokrasia na kuendesha uchaguzi wa maigizo
 
Huku nako ni kujizima data. Tangu lini movement za kwenda kupiga kura zikafanana na movement za kuandamana ?

Ima
Haya tuwekee hizo move movement za kupiga kura nasubiri
 

Hata Uchaguzi umefail pia. Pamoja na kampeni zote na kupoteza kodi za Watanzania. Wapigakura wameamua kulala nyumbani. No Reforms No Election imefanikiwa. Samia ajitangaze mwenyewe bila kura za wananchi.
 
Sasa waandamanaji wa kweli wanaogopaje doria na wao walikuwa wanasema wapo wengi kuliko Askari ?
Kama wewe shetani na mashetani wenzako mngekuwa watenda haki msingewatuma Polisiccm kufanya doria, mngeacha mandamano yafanyike kwa uhuru kwani ni haki kikatiba
 
Si mliambiwa mapema hakutakuwa na nywinywi nywinywi wala nywinywinywi mkawa wabishi. Sasa mnaanza kuja na ngonjera zisizo na kichwa wala miguu.
Maandamano yakakuja muda na saa na siku usiyo ijua hata baada ya Samia kujipatia urais kinyume na uchaguzi tena siyo maandamano tu ya kawaida
 
Hata Uchaguzi umefail pia. Pamoja na kampeni zote na kupoteza kodi za Watanzania. Wapigakura wameamua kulala nyumbani. No Reforms No Election imefanikiwa. Samia ajitangaze mwenyewe bila kura za wananchi.
Anazo kura mifukoni watajitangazia ushindi haramu wa kuzushi lakini Dunia yote wanajua Tanzania hakuna uchaguzi huru na haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…