Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Vipi awe anakupima uvumilivu wako alafu ukisha muacha Mambo yanamnyookea utarudi?.
Hata yeye asingeweza kupimwa hivyo mambo yakomnyookea ni maisha yake kikubwa amjalie mtoto wake
 
Asante ni ngumu kuwa upande wa mwanaume mwenzio lakini ili uepuke dharau na kiburi cha wanawake wanaume chenille kujibwwteka pambaneni
Alafu wake waje wale vya bure?.
 
Ndo hawa wanawake sasa eti wanataka usawa majukumu kidogo tu wanatema nyngo
Nature yetu hatujaumbiwa kubeba majukumu kasome historia ya hawa na adamu ndo utajua majukumu ya mwanaume ni yapi na ya mwanamke ni yapi
 
Vipi wakati anakupa ile milion moja, mbona hukuja kusema
Tunakuja umu tukiwa na changamotoa ambazo tunaona hazina utatuzi lengo ni kupata ushauri na mitazamo ya watu wengi
 
Unatoa laana kwenye maisha ya mtu bro uko sawa kiakilii wewe au ww ndo wote mnalelewa na wanawake mbona imekuchoma sana
 
Naonge la mwisho, achana nae kaa nae mbali hujazaliwa nae. Focus na maisha yako achana na mpuuzi huyo. Kaanze maisha upya ukiona analeta vagi kwenye kuondoka muachie kila kitu kaanze moja
 
Tunakuja umu tukiwa na changamotoa ambazo tunaona hazina utatuzi lengo ni kupata ushauri na mitazamo ya watu wengi
Kwa namna ulivyoeleza si kama kwamba unatafuta ushauri, nadhani umeona uelekeo wa ushauri uliopokea
 
Hii ni ya Facebook unaleta uku?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hii dunia ukiziwa mwanaume inabidi ugangale kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…