Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Sawa mkuuItoshe kusema Mpumbavu mkubwa wewe! Biashara za wanasiasa lazima ziwe wazi vinginevyo ni mafisadi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuItoshe kusema Mpumbavu mkubwa wewe! Biashara za wanasiasa lazima ziwe wazi vinginevyo ni mafisadi!
Sana. Mtu wa hivi ni mzuri sana. Nyeupe anasema nyeupe, hana kona kona, hana mambo ya rushwa, etc. Sema kwa mazingira yetu kuwatambua watu wa hivi na kuwathamini ni ngumu sana, ndio kwanza ataonekana ni adui.Lissu ni muwazi sana sana.
Tin ya biashara ya Chadema!Kwa hiyo hana TIN kwa vile Lisu ni TRA na zile AC za biashara zilifungwa ina maana zilikuwa hewani!!.Unajua maana ya kukosa TIN ambayo hata wewe unayo!!?Atafute vyeo kwa ustaarabu ndio lengo langu.Ina maana Lisu yeye akikuchukia kila anachosema ni sawa!!?
Mbowe aibe pesa za chama afichiwe siri ili iweje? Kwanza mshukuru Lisu kwa kumpiga Mbowe pressure kwani bila pressure za Lisu leo hii chawa msingekuwa mnakula pesa za mbowe kisha kumtetea mitandaoni, kamati za Roho mbaya za mdee wenje Boniface zingekosa kazi na kukosa kula pesa za mbowe, Lisu kawatengenezea Ulaji kuleni pesa za mbowe angalau mzile wengi kuliko angekula peke yake kama alivyokuwa kazoea miaka yoteHaiwezi kujua kila kitu mzee...
Lakini zaidi kuna kufichiana siri,
Hakuna serikali inayo ropoka tu kwenye kila kitu kama huyo bwana....
Kumbuka kosa la kukwepa kodi unazuiwa kushiriki siasa kwa muda mrefu sana... Na kashfa yake huchomoki kwa umma ..
Sasa jamaako kaamua kukaa kimangaa anadhani kila mtu lazima awe na Tin number ili afanye biashara...
Hiki ni kipindi cha kampeni usimpangie Lisu cha kuongea kwa visingizio visivyo na mashiko kisa umekula pesa za mboweTAL aliyemuweza ni JPM!
Sasa anatafuta kuisambaratisha chadema, msigwa kule ataisambaratisha CCM.
Lissu ni mchafuzi WA Hali ya hewa popote aliko.
Iwapo atakosa kura,ataanzisha kelele zingine
FyIMbowe aibe pesa za chama afichiwe siri ili iweje? Kwanza mshukuru Lisu kwa kumpiga Mbowe pressure kwani bila pressure za Lisu leo hii chawa msingekuwa mnakula pesa za mbowe kisha kumtetea mitandaoni, kamati za Roho mbaya za mdee wenje Boniface zingekosa kazi na kukosa kula pesa za mbowe, Lisu kawatengenezea Ulaji kuleni pesa za mbowe angalau mzile wengi kuliko angekula peke yake kama alivyokuwa kazoea miaka yote
Biashara za siri za mbowe ni kuuza unga ndiyo maana makonda alimtaja kwenye list na biashara ya pili ya mbowe ni kuiba pesa za chadema kisha kuzitakatisha kwa kisingizio cha kujilipa madeni hewaKila mtu ana biashara zake anazofanya ,nyingine zipo wazi na nyingine mtu hapendi kuziweka wazi ila zipo ,Mbowe ni hustler ,anajua kutafuta pesa.
Ni muwazi au hana heshima wala kitu Cha kupoteza ?Ni Moja ya wanasiasa wachache wa kitz mwenye kaliba hiyo. Mungu amuweke sana TAL
Ushahidi uletewe hapo ghetto?FyI
Mimi hakuna mwanasiasa wa kunipa pesa for any reason whatsoever... Natengeneza pesa mwenyewe.. sipigi domo kama huyo mshamba ili nipate kula.
Mwanaume unalipiwa ticket ya ndege unanunuliwa na gari? Wewe ni mwanaume au fala?
Kama kina watuwanalipwa na una ushahidi nyooka nao .
Hapa ni JF where we dare to talk openly
Ana behave Kama mhuni tuLissu amewahi kiri Magufuli kuharibu biashara za Mbowe!! Kumbe hata Bilicanas ilikua hewa!! Lissu ametupa wengi mashaka!!
Mbowe ni mwizi kama wezi wengine tuNi muwazi au hana heshima wala kitu Cha kupoteza ?
CCM isambaratishwe na Msigwa????TAL aliyemuweza ni JPM!
Sasa anatafuta kuisambaratisha chadema, msigwa kule ataisambaratisha CCM.
Lissu ni mchafuzi WA Hali ya hewa popote aliko.
Iwapo atakosa kura,ataanzisha kelele zingine
Mbowe huiba pesa za chadema kisha kuwabambikia madeni hewa ili ajilipe aweze kuzitakatisha pesa alizoiba kiulainiAna behave Kama mhuni tu
Embu nitake radhi masta.Ushahidi uletewe hapo ghetto?
Wewe umekariri Mbowe ni mungu ni malaika asiye na Dhambi hata uletewe ushahidi gani huwezi kuamini
Kipindi cha kampeni hutakiwi kumpangia mgombea cha kuongea kwani kila mgombea yupo huru kusema mapungufu ya mwenzieKwa hiyo hana TIN kwa vile Lisu ni TRA na zile AC za biashara zilifungwa ina maana zilikuwa hewani!!.Unajua maana ya kukosa TIN ambayo hata wewe unayo!!?Atafute vyeo kwa ustaarabu ndio lengo langu.Ina maana Lisu yeye akikuchukia kila anachosema ni sawa!!?
Hata pesa za chadema alizoiba Mbowe na kujimilikisha hazina TIN noKwani unga una TIN no?
Wajitokeze kumjibu maswali hayo ya msingi kabisaTundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara ambayo huwa haijulikani? Kuna Biashara isiyokuwa na TIN number, isiyokuwa na Leseni, isiyokuwa na jina isiyokuwa na Ofisi Mahali, isiyokuwa na Bank account? Ipo? Niambieni." Mwisho wa kumnukuu.
🤣😆Kwani unga una TIN no?