Je, Tundu Lissu ashitukia biashara za Freeman Mbowe? Ahoji biashara gani haina TIN Number?

Je, Tundu Lissu ashitukia biashara za Freeman Mbowe? Ahoji biashara gani haina TIN Number?

Kwa hiyo hana TIN kwa vile Lisu ni TRA na zile AC za biashara zilifungwa ina maana zilikuwa hewani!!.Unajua maana ya kukosa TIN ambayo hata wewe unayo!!?Atafute vyeo kwa ustaarabu ndio lengo langu.Ina maana Lisu yeye akikuchukia kila anachosema ni sawa!!?
Tin ya biashara ya Chadema!
 
Haiwezi kujua kila kitu mzee...

Lakini zaidi kuna kufichiana siri,

Hakuna serikali inayo ropoka tu kwenye kila kitu kama huyo bwana....

Kumbuka kosa la kukwepa kodi unazuiwa kushiriki siasa kwa muda mrefu sana... Na kashfa yake huchomoki kwa umma ..

Sasa jamaako kaamua kukaa kimangaa anadhani kila mtu lazima awe na Tin number ili afanye biashara...
Mbowe aibe pesa za chama afichiwe siri ili iweje? Kwanza mshukuru Lisu kwa kumpiga Mbowe pressure kwani bila pressure za Lisu leo hii chawa msingekuwa mnakula pesa za mbowe kisha kumtetea mitandaoni, kamati za Roho mbaya za mdee wenje Boniface zingekosa kazi na kukosa kula pesa za mbowe, Lisu kawatengenezea Ulaji kuleni pesa za mbowe angalau mzile wengi kuliko angekula peke yake kama alivyokuwa kazoea miaka yote
 
TAL aliyemuweza ni JPM!
Sasa anatafuta kuisambaratisha chadema, msigwa kule ataisambaratisha CCM.

Lissu ni mchafuzi WA Hali ya hewa popote aliko.

Iwapo atakosa kura,ataanzisha kelele zingine
Hiki ni kipindi cha kampeni usimpangie Lisu cha kuongea kwa visingizio visivyo na mashiko kisa umekula pesa za mbowe
 
Mbowe aibe pesa za chama afichiwe siri ili iweje? Kwanza mshukuru Lisu kwa kumpiga Mbowe pressure kwani bila pressure za Lisu leo hii chawa msingekuwa mnakula pesa za mbowe kisha kumtetea mitandaoni, kamati za Roho mbaya za mdee wenje Boniface zingekosa kazi na kukosa kula pesa za mbowe, Lisu kawatengenezea Ulaji kuleni pesa za mbowe angalau mzile wengi kuliko angekula peke yake kama alivyokuwa kazoea miaka yote
FyI

Mimi hakuna mwanasiasa wa kunipa pesa for any reason whatsoever... Natengeneza pesa mwenyewe.. sipigi domo kama huyo mshamba ili nipate kula.

Mwanaume unalipiwa ticket ya ndege unanunuliwa na gari? Wewe ni mwanaume au fala?

Kama kina watuwanalipwa na una ushahidi nyooka nao .

Hapa ni JF where we dare to talk openly
 
Kila mtu ana biashara zake anazofanya ,nyingine zipo wazi na nyingine mtu hapendi kuziweka wazi ila zipo ,Mbowe ni hustler ,anajua kutafuta pesa.
Biashara za siri za mbowe ni kuuza unga ndiyo maana makonda alimtaja kwenye list na biashara ya pili ya mbowe ni kuiba pesa za chadema kisha kuzitakatisha kwa kisingizio cha kujilipa madeni hewa
 
FyI

Mimi hakuna mwanasiasa wa kunipa pesa for any reason whatsoever... Natengeneza pesa mwenyewe.. sipigi domo kama huyo mshamba ili nipate kula.

Mwanaume unalipiwa ticket ya ndege unanunuliwa na gari? Wewe ni mwanaume au fala?

Kama kina watuwanalipwa na una ushahidi nyooka nao .

Hapa ni JF where we dare to talk openly
Ushahidi uletewe hapo ghetto?
Wewe umekariri Mbowe ni mungu ni malaika asiye na Dhambi hata uletewe ushahidi gani huwezi kuamini
 
TAL aliyemuweza ni JPM!
Sasa anatafuta kuisambaratisha chadema, msigwa kule ataisambaratisha CCM.

Lissu ni mchafuzi WA Hali ya hewa popote aliko.

Iwapo atakosa kura,ataanzisha kelele zingine
CCM isambaratishwe na Msigwa????
 
Ushahidi uletewe hapo ghetto?
Wewe umekariri Mbowe ni mungu ni malaika asiye na Dhambi hata uletewe ushahidi gani huwezi kuamini
Embu nitake radhi masta.

Umri huu mimi nikae gheto mzee? Vipi bwana.

Nani kasema Mbowe ni Malaika?

Wanasiasa malaika umewaona wapi?

Hapa tunatofautiana mtazamo wa character, na ideology ya wagombea ..

Kukariri mimi?

Tuendelee kuzungumza kaka.
 
Kwa hiyo hana TIN kwa vile Lisu ni TRA na zile AC za biashara zilifungwa ina maana zilikuwa hewani!!.Unajua maana ya kukosa TIN ambayo hata wewe unayo!!?Atafute vyeo kwa ustaarabu ndio lengo langu.Ina maana Lisu yeye akikuchukia kila anachosema ni sawa!!?
Kipindi cha kampeni hutakiwi kumpangia mgombea cha kuongea kwani kila mgombea yupo huru kusema mapungufu ya mwenzie
 
Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara ambayo huwa haijulikani? Kuna Biashara isiyokuwa na TIN number, isiyokuwa na Leseni, isiyokuwa na jina isiyokuwa na Ofisi Mahali, isiyokuwa na Bank account? Ipo? Niambieni." Mwisho wa kumnukuu.
Wajitokeze kumjibu maswali hayo ya msingi kabisa
 
Back
Top Bottom