Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

Huo nao ni utamaduni wa Mtanzania?
 
Kwamba ni kadogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hii kitu siwezi lengo ni zuri lakini hiyo njia ni EXIT ONLY Hakuna ENTRANCE 🚱🚩
Yeah tatizo njia ya kuweka hiyo dawa ndo kakasi,, vinginevyo ni tiba nzuri maana kitoto kilikuwa hoi kweli, siku tatu hatukulala ndani,, mie mgeni maza mtu mgonjwa na wanae,, mie ndo nilikuwa nakesha na kubeba mtoto,, wakawa wakija majirani nasikia wanasisitiza kuinika kuinika ndo maza mtu jioni yake na kikosi wakafanya zoezi,, nikatoka nje maana sikutaka hata kushuhudia kesho yake ndo nikakaza kushuhudia eeeh ni shughuli si mchezo,, kinyesi kilivyolipuka kama bomu,, 😲
 
Wakiwa hapa mjini wanainikia wapi,Majumbani kwao au? πŸ˜‚Nyumba zina Siri kubwa
 
Mambo ya kisenge hayo πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Hivi hapo unaongeza au unapunguza nguvu!??

Swali la kijiuliza ni kwamba wanapigwa Bomba kila baada ya muda gani?

Maana Hii ni hatar sana!!!πŸ’‰
 
Hivi hapo unaongeza au unapunguza nguvu!??

Swali la kijiuliza ni kwamba wanapigwa Bomba kila baada ya muda gani?

Maana Hii ni hatar sana!!!πŸ’‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…