Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

Aaaah dah! aisee kwisha kazi, oi wakuu mwanaume kinachotakiwa kupita pale ni haja tu ikiwa inatoka.
 
Unashangaa Kaja mwanamama na zigo lake kuinika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Au mwanaume wa Dar anayetafuta nguvu
Hapo sasa nikawa naimagine mwemye zogo kuja kulipata tundu ili ainikwe hapo inakuwaje!!! Labda ujiinike ila km si mzoefu dawa haiingii vizuri kwahiyo happ ni mpk mtu akuwekee
 
Hahaha 🀣🀣🀣 balaa,, walinisimulia wapo wanaume wasio wa huko walienda wakainikwa ili kupata nguvu na walizipata kwa mujibu wao nikasema iiihiiiiiπŸ™„πŸ™„
😁😁😁😁wanarudi kupiga show, Siri yao wanaijua wenyewe
 
😁😁😁😁wanarudi kupiga show, Siri yao wanaijua wenyewe
Hata ingekuwa ukiinikwa unapata hel,, tatizo zoezi husika linachachafya uvue nguo zote,, ubon'goe πŸ™„, ,,,,, __ uharishe na mwisho kabisa usafishe kinyesi,,, si kudhalilishana huko sasa
 
Shida yote hiyo ya nini ,,ili tu kumridhisha mwanamke ,,binafsi hua naridhika na hua nakua na furaha sana nikiwa na pesa kuliko kitu chochote....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…