Je, yawezekana tukapata Mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi?

Nauliza tu maana kuna harufu Fulani kutoka sehemu fulaniii Tukapata kijana akawa IGp

Ni mawazo Yangu tu

Wait it

Upo Pascal Mayalla ?
Britanicca
Kiukweli nakuzingatia sana, lets wait and see, mimi IGP wangu ni yule binti Kaganda, kwa wenzetu wa upande wa pii, hakuna, ni wateke sana, wala urojo watatuletea urojo ligeuge urojo urojo na rojo rojo, hili niliwahi lizungumza humu Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?
P
 
Tukio la Sativa liliondoa mashaka kwa waliokuwa nayo. Kibaya zaidi ''damage control' ilikuwa mbaya kuliko tukio.Waliomshauri walimharibia sana.

Damage control ni malipo ya matibabu? Ilikuwa kum link na tukio, ilikuwa mbaya sana.

Wiki moja baadaye tukasikia ya kujiteka n.k. swali la matibabu likarudi na kuvuruga tena.

Waziri wa ''mambo ya nyumbani'' kazidi kuharibu,. Badala la kuponya akatonesha vidonda

Katika hali ya kawaida kuna watu walipaswa kuwajibika ili kumsafisha!
 
Cammilius na Ramadhan wamepwaya sana kwenye nafasi zao na utendaji wao ni kama wanapingana na 4R za boss wao.
Tamaa za boss wao kukitaka tena kiti kwa udi na uvumba ndiyo sababu ya 4R kukanyagwa. Yaani ili kurejea tena 2025 hakuna namna, lazima azinajisi 4R. Polisi wasilaumiwe .

Kinachofanywa na polisi ni maelekezo toka kwa bibi mwenyewe
 
Huyu IGP wa sasa ndio alitumika na Magufuli kuframe kesi ya ugaidi ya Mbowe. Na wakaishia kulitia jeshi la polisi aibu, na serekali kwa ujumla kwa kutengeneza ushahidi wa kitoto sana.
Kwani mbowe ile kesi alishinda au Daktari Samia aliamua kumsamehe tu?
 
Yani mtu mmoja ndio amchafue Raisi tena wa nchi ya Africa?huyo Sativa kwanza nobody knows him huku mitaani zaidi ya humu mitandaoni..

..serikali kuwa na genge la wauwaji unaona ni sifa kwa raisi? kilichomtokea Sativa sio jambo la kikatili tu, bali jambo la kipumbavu pia. serikali kuhusika ktk jambo la aina hiyo ni aibu.
 
Huyu IGP wa sasa ndio alitumika na Magufuli kuframe kesi ya ugaidi ya Mbowe. Na wakaishia kulitia jeshi la polisi aibu, na serekali kwa ujumla kwa kutengeneza ushahidi wa kitoto sana.
Kesi ya Mbowe unamuhusisha Magufuli? Kwa nini mnaogopa kumlaumu mama yenu hata anapokosea? Magufuli alifariki lini na huyo gaidi aliyeachiwa kwa makubaliano ya kuwa chawa wa mama yenu alikamatwa lini? Je magufuli aliwahi kutamka popote kwamba chawa la mama yenu Mbowe ni gaidi? Lakini mama yenu hakuiambia dunia kupitia BBC kwamba chawa ni gaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…