UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
kwa hiyo apewe nani sasa bashiru au makonda,watanzania kichwani ni 0%,tunafikiri nchi ni rais nchi ni KATIBA sio rais mtaangaika sana mwishow mtaweka na manyani kabisaHii nchi ni ngumu na Mama Samia ni mwepesi sana. Possibility to fail is more than 80%.
Yule mama tulipigwa.
JENERALI UMEFELI,TENA DIVISHENI ZEROMwandishi wa habari mbibezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.
Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?
My take. Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas
We acha upuuzi. Hiyo 1.5T si bunge lilithibisha haikupigwa popote. Na yule CAG wenu tuliona chuki zake za wazi baada ya jamaa kufa, ulitegemea angesema nni kama mtu alijawa na chuki.Ujinga wako wa kutoelewa mambo usikufanye upotoshe watu.Tuambie wapi pesa imechotwa. .. !?
Nami nikwambie enzi za shujaa wenu pesa ilivyochotwa nakudhibitishwa na CAG 1.5trilion umewahi kusikia..
Au unataka uniletee stori za kijiweni hapo uswaz kwako
Katiba hutengenezwa na watu, na huvunjwa na watu. Usitegemee miujiza.Ukiwa na katiba isiyotoa ruhusa ya kuchezewa mpaka wananchi waridhie . Haiwezi kubadilishwa kihuni .
Exactly, Jenerali yuko overrated sana. Anachojua ni kuandika riwaya tu za Kiingereza na Kiswahili.Ni kweli nchi hii ni ngumu. Jenerali alipewa ukuu wa wilaya ukamshinda, akabwaga manyanga na kurudi kwenye upigaji porojo. Kupiga porojo kwenye vyombo vya habari siyo sawa na kuongoza kwenye field.
sio kweli, aende nchi za jirani ndio aje kuwandika utumboMwandishi wa habari mbibezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.
Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?
My take. Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas ( mashemeji)
Mh. Ulimwengu yuko sahihi kabisa! A very qualified Army Officer aliingia kutawala nchi akiwa ana nia njema sana lakini hata yeye alinyoosha mikono!Mwandishi wa habari mbibezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.
Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?
My take. Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas ( mashemeji)
Inawezekana ukawa hujui kiingereza ndio maana unashangaa, Depart inamaanisha kuondoka/kufa, hivyo sentensi hii "Visionary Leader departed on 26.03.2021" inaonyesha kuna kiongozi alikufa/aliondoka tarehe hiyoHiyo senteni imeonyesha kuwa kuna "kiongozi mwingine alikufa mwezi wa tatu..."!!!????
Mtu unajijua wewe ni mfupi huwezi kuanika nguo kwenye kwamba, hivyo unatabia ya kuomba jirani akusaidie , sasa umepata nafasi ya kuweka mtu akusaidie , unamuweka mfupi mwenzio badala ya mrefu. Hivyo tatizo litaendeleaMwandishi wa habari mbibezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.
Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?
My take. Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas ( mashemeji)
Naona serikali yako ya kigaidi imemtengenezea Jenerali Ulimwengu ajali ya gariMwandishi wa habari mbibezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.
Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?
My take. Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas ( mashemeji)
Lini?Naona serikali yako ya kigaidi imemtengenezea Jenerali Ulimwengu ajali ya gari
August 16Lini?
Sina taarifa kabisa bwashee!August 16
Alikimbia udhalimuNi kweli nchi hii ni ngumu. Jenerali alipewa ukuu wa wilaya ukamshinda, akabwaga manyanga na kurudi kwenye upigaji porojo. Kupiga porojo kwenye vyombo vya habari siyo sawa na kuongoza kwenye field.
Wew ni mpumbavu Kwahiyo kiongozi katika nchi hii ni Gaidi MboweVisionary leader or silent killer + ego