denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Hawa polisi wanaharibu, wanaanza kutonesha vidonda vilivyokuwa vimepoa.
Sijui ni ushirikiano wa aina gani wanaotaka toka kwa Lissu, alishawatajia mpaka majina ya wahusika lakini bado wapo kimya hakuna walichofanya mpaka leo.
Zaidi, Lissu alilazwa Ubelgiji zaidi ya mwaka, kipi kiliwashinda kwenda kule kumhoji walichotaka baada ya hali yake kuanza kuimarika? hiki wanachofanya polisi wetu ni usanii mtupu.