Jeshi la Polisi: Bado tunamsubiri Tundu Lissu na dereva wake ili kufanya uchunguzi

Jeshi la Polisi: Bado tunamsubiri Tundu Lissu na dereva wake ili kufanya uchunguzi

Hawa polisi wanaharibu, wanaanza kutonesha vidonda vilivyokuwa vimepoa.

Sijui ni ushirikiano wa aina gani wanaotaka toka kwa Lissu, alishawatajia mpaka majina ya wahusika lakini bado wapo kimya hakuna walichofanya mpaka leo.

Zaidi, Lissu alilazwa Ubelgiji zaidi ya mwaka, kipi kiliwashinda kwenda kule kumhoji walichotaka baada ya hali yake kuanza kuimarika? hiki wanachofanya polisi wetu ni usanii mtupu.
 
Kwa risasi zile angekufa dereva na lisu walawa maiti polisi ingemuhoji nani au jinai ndo ingefia hapo hapo. Hiyo mitaa ya Area D ni mtaa yetu na nyumba hizo zina walinzi wa makampuni nyingine zinalindwa na FFU na so far karibia nyumba zote pale zina CCTV.

Emu polisi waache kutuyumbisha hawa watu. Mbona mashahidi ni wengi kuliko lisu na dereva. Hii kazi wakipewa FBI au SCOATLAND YARD naona jua halizami waarifu wamekamatwa mapema.
 
Lisu lazima akamatwe ahojiwe na aache maelezo kwa maandishi
Wewe ni pumbavu, nilitaka kujibu hoja ila ninakujibu wewe straight kwanza, wewe ni zuzu na elewa Mr.Lissu hapa ni victim sio suspect, jeshi lako la ccm wanafanya politics hapa, ilitakiwa muda mrefu wawe wameshatupa uchunguzi wa mwanzo kuhusiania na kesi hii ikiwa ni pamoja na kilichorekodiwa kwenye cctv, maelezo ya sentry, aina gani ya bunduki zilizotumika pale kwa kuangalia na kufanyia uchunguzi maganda ya risasi, gari walilotumia washambuliaji etc etc,nchi hii ugumu mwingine unaletwa na kenges kama mtoa mada hii, believe on me this case will NEVER BE A COLD ONE
 
Hivi wewe ukiibiwa hapo dukani kwako utamtuma jirani yako akatoe maelezo polisi? Acheni kujitoa ufahamu basi
Tundu Lisu alitembelewa na makamu wa Rais ambaye kwa sasa ndiye Rais wa JMT mh Samia pale Nairobi hospital

Tundu Lisu alionana na Rais Samia pale Ubelgiji na Tundu Lisu alijieleza kila Kitu kwa Amiri Jeshi Mkuu

Amiri Jeshi Mkuu akamhakikishia Tundu Lisu usalama pindi atakaporudi nyumbani

Kwa kifupi Tundu Lisu yuko mbele zaidi ya hayo " maelezo" unayoyataka wewe
 
Kupigwa upigwe wewe alafu kuhojiwa unataka wakahojiwe wengine ??

Yani aliyekuwa anakuendesha unamficha mazima kabisaaa alafu unataka polisi waendelee na faili lako?

Acha kujitoa ufahamu wewe
Punguza ujinga.Hizi kesi zote za polisi wanazochunguza nikwasababu kuna mlalamikaji?.
 
Wanataka wamnyamazishe mazima, kuna utaratibu wa kuhoji suspect na victim through vyombo vya uchunguzi kwa kuwasiliana na balozi zetu zilizopo nje ya Nchi kuna shida kwa Wambura & others Mambo ya ndani ndo maana mama alisema idara ya Polisi na Wizara ya mambo ya ndani No intergration at all.
 
Mambo ya utani kama haya usitegemee nchi yaweza kusonga mbele - never. Taasisi ya ulinzi inakuwa walawala ni hatari sana kwa nchi.
 
Back
Top Bottom