Hawa jamaa hawana akili kabisa.Jeshi la polisi limesema bado linaendelea kumsubiria mwanasiasa huyo na dereva wake ili wawakamate na kuwahoji namna tukio lilivyotokea...
Huna akili, angekufa je ungehoji maiti.Lisu lazima akamatwe ahojiwe na aache maelezo kwa maandishi
PoliccmUnamkamata mtu aliyeshambuliwa?
Ndio upelelezi wa jeshi letu. Je? Ange fariki hatunge kaa tupate ripoti ya kifo chake maana kafa na ushahidi?Unamkamata mtu aliyeshambuliwa?
Wewe ni pumbavu, nilitaka kujibu hoja ila ninakujibu wewe straight kwanza, wewe ni zuzu na elewa Mr.Lissu hapa ni victim sio suspect, jeshi lako la ccm wanafanya politics hapa, ilitakiwa muda mrefu wawe wameshatupa uchunguzi wa mwanzo kuhusiania na kesi hii ikiwa ni pamoja na kilichorekodiwa kwenye cctv, maelezo ya sentry, aina gani ya bunduki zilizotumika pale kwa kuangalia na kufanyia uchunguzi maganda ya risasi, gari walilotumia washambuliaji etc etc,nchi hii ugumu mwingine unaletwa na kenges kama mtoa mada hii, believe on me this case will NEVER BE A COLD ONELisu lazima akamatwe ahojiwe na aache maelezo kwa maandishi
Apeleke nini?Na kwa nini na yeye hakupeleka maelezo kwa maandishi Polisi hiyo 2020?
Tundu Lisu alitembelewa na makamu wa Rais ambaye kwa sasa ndiye Rais wa JMT mh Samia pale Nairobi hospitalHivi wewe ukiibiwa hapo dukani kwako utamtuma jirani yako akatoe maelezo polisi? Acheni kujitoa ufahamu basi
Punguza ujinga.Hizi kesi zote za polisi wanazochunguza nikwasababu kuna mlalamikaji?.Kupigwa upigwe wewe alafu kuhojiwa unataka wakahojiwe wengine ??
Yani aliyekuwa anakuendesha unamficha mazima kabisaaa alafu unataka polisi waendelee na faili lako?
Acha kujitoa ufahamu wewe
Uko kisiasa zaidi, kwaheri!Kama amewaona wote hao anashindwa nini kuwaona polisi?
Anacholalia na kulalamika ni nini sasa?
Ni majinga kabisa!Hawa jamaa hawana akili kabisa.
Si alikuwepo hapa wakati wa campeni za uchaguzi 2020,Tulishasema pia aje pamoja na dereva wake ili tupate maelezo yao kwani yatatusaidia kusonga mbele katika uchunguzi wetu,”amesema Misime.