Jifunze Kutoka Safari ya Jux: Ndoa na Mahusiano

Kwamba Jux alikua shoga...
 
Minyege ikishachanganyikana na vileo unategemea nini zaidi ya ubongo kuachana na kazi ya kufikiri?
Sometimes ni ulimbukeni na kutaka societal validation si unakumbuka Idris sultan kwa wema sepenga?
 
Reactions: Tsh
Ni kweli mkuu, kwa zama hizi ni bora mwanaume apge sana mechi na wanawake tofauti kisha ajue wakoje, awaelewe ili akiingia ndani ya ndoa anajua wanawake wapoje.

Wanaume wanaooa umri ukiwa zaidi 33 wala sehemu kubwa sana ya kuwin kupata mtu sahihi kuliko walio chini ya hapo. Kwa umri huo mwanaume ameshajua mwanamke wa kuweka ndani ni yupi na yupi wa kupita tu.
 
Watu hawamjui tu Vee Money *****..Vee Money alikuwa mvhta bangi,mchepukaji na aliwahi kuwa lesbian kipindi cha nyuma
 
Umemaliza mwenye kusikia na asikie.
Wanawake kwenye 28 kuja juu wana strugle saana kupata wanaume ila mimi naamini ktk prime yao walikuja watu kadhaa ila wao wakawatema.

Wanasemaga wanawake wana miaka kama 7 hivi au 9 ya kukaa ktk prime yao. So hiko kipindi mwenye akili timamu na aliyelelewa ktk maadili anajua ni nini cha kufanya.
 
Sometimes ni ulimbukeni na kutaka societal validation si unakumbuka Idris sultan kwa wema sepenga?
Naye alivuma, ila kipindi kile social media hazikuwa strong kama sasa.
 
Mbona unaitwa wanawake makombo?
Hivi unajua Kuna wanawake wapo 35 na wamejitunza kuliko binti wa miaka 25?

Aki Tena Kila siku najionea mengi,ila itoshe kusema wanaume hamtaweza kuwaelewa wanawake mpaka mwisho wa Dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…