Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Google Lakini Katika Visa Card Wanataka Cvc Badala ya CVV Sasa Mimi Natumia M'pesa Visa Card Yenyewe Ni CVV tu Je Nifanyeje
Kwanza tambua kuwaa
  • CVV (Card Verification Value) na
  • CVC (Card Validation Code)
Ni hizo three digit ulizopewa ulipo_create vitual card yako katika mtandao husika. Ni kitu kimoja kwa kazi moja.

Je Nifanyeje? | Jaza hizo digits tatu ulizonazo, bila kujali umeandikiwa CVC au CVV
 
hi naomba nielekeze jinsi ya kununua vitu alibaba na e-bay
Mara nyingi post a nikiagiza huwa nalipishwa ushuru.sijui Hui imekaaje.au ukiwa na sanduku LA post a LA kwako.utakuwa hulipishwi??
 
Mbana nikijalibu kukutafuta sikupati
 
Naje kaka
 
Naomba kujua namna ya kukwepa kodi ukiwa unanunua bdhaa online mfano aliexpress
 
N
 
Mbona kama unatakiwa kulipia na sio kama ilivyo eBay nk? Zanaco
Hapana mkuu mamba ya online usikariri kila platform inatumia nfumo wake wauzaji na features zake ukitaka kila online platform ifanane na Ebay utakuwa hutaki ukijifunza vitu vipya.
 
Kuna bidhaa nahitaji kuiagiza, kimashine kidogo kwa matumizi ya nyumbani, shida niliyo nayo ni kuto elewa jumla ya gharama yake mpaka kinanifikia mkononi! Maana calculator ya TRA ina taka magari tu!

Je napataje gharama halisi ya hiyo bidhaa mpaka kunifikia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…