ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Endelea kushindana ila tambua tuu kwamba jiji la tatu kwa viwanda Tzn ni Arusha hiyo mwanza imejaa makapiku tuuWewe nshakumbia hutanishinda hata siku moja!!! Hata ukija kule kwenye Mwanza vs Kisumu ukatetea Kisumu mi ntakupa za USO tu...Na huwa hurudi tena!!! Nipo realistic na najiamini na source zangu!!!
The Citizen wanasema uwongo siku hizi...Au na mkuu wa mkoa nae ni muongoso
hakuna hiyo source NBS ,the citizen sio official source..naona umepata shabiki anakujaza gas huko
Nimewaambia hao jamaa ukitoa Dar na Pwani jiji lingine la viwanda ni Arusha wengine wanabahatisha bahatisha
Haya hii niyo watapinga kama kawa😅😅Haya bwanaView attachment 1468892
Kwamba UN ana takwimu kuliko NBS sio? sawa mkuu ila sijawahi ona hata panadol kutoka mwanza lakinindawa za binadamu na mifugo/kilimo nyingi sana zinatoka Arusha mfano Burton Tanzania limitedLa takwimu nishalitolea ufafanuzi boss...Mwanza city ni 1.2M...Arusha city ni 4K..Source UN nimetoa hadi link.
Yeah boss nimempuuza rasmi.Bado unamjibu huyo jamaa na chuki zake dhidi ya Mwanza. Ignore him
AtoZ haitumii pamba kabisa,inaaguza nyuzi kutoka malaysia,india,na vietnam,pia ujue AtoZ ni group of company,kama umeona product za kilimo za agro-Z ni zao pia,wana viwanda vya plastic, mifuko ya cement inayotumiwa na viwanda karibu vyote vya cement.Kumbuka hicho kiwanda cha A to Z kina lishwa na malighafi kutoka Mwanza,especially Pamba
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Sorry mkuu nadhani ulimaanisha BaltonKwamba UN ana takwimu kuliko NBS sio? sawa mkuu ila sijawahi ona hata panadol kutoka mwanza lakinindawa za binadamu na mifugo/kilimo nyingi sana zinatoka Arusha mfano Burton Tanzania limited
Soma hii link hapa chini.Halafu nadhani tuishie hapa tu.Kwamba UN ana takwimu kuliko NBS sio? sawa mkuu ila sijawahi ona hata panadol kutoka mwanza lakinindawa za binadamu na mifugo/kilimo nyingi sana zinatoka Arusha mfano Burton Tanzania limited
WaacheHaya hii niyo watapinga kama kawa[emoji28][emoji28]
Mzee mwanza mnatambaa wenzenu arusha wameshakua kitambo na wanaendelea kumature, ingia TIC upate ukweli na hivyo viwanda havibadili ukweli kwamba Arusha ina viwanda vingi nje ya DarSoma hii link hapa chini.Halafu nadhani tuishie hapa tu.
Single News | TANZANIA INFORMATION SERVICES-MAELEZO
Sawa brother..wasalimie hukoView attachment 1468913Unasimulia hadithi lakini facts zinakueleza kitu kingine,weka facts mkuu kama idadi ya viwanda,mchango wa kimapato TRA nk nk
i
Mzee mwanza mnatambaa wenzenu arusha wameshakua kitambo na wanaendelea kumature, ingia TIC upate ukweli na hivyo viwanda havibadili ukweli kwamba Arusha ina viwanda vingi nje ya DarSoma hii link hapa chini.Halafu nadhani tuishie hapa tu.
Single News | TANZANIA INFORMATION SERVICES-MAELEZO
Watu tunaweka vitu hapa halafu wewe unatumbia tunadownload kisha tuende page ya ngapi sijui. Kwani kukopi na kupaste text hujui? Unaogopa.Kwanza nawe nshakupiga KO kalale.Acha uvivu kasome
Revenue from Tax amaIla kwa revenue Arusha imeipita mwanza
Tanfoam unga limited sunflag,kiwanda cha mabati,Pepsi,tbl nkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkArusha kuna viwanda vipi tofauti na general tyre ambayo nayo isha jifia?,hebu vitaje
Umesema viwanda vya dawa hamna.., Nimekuwekea unasema tunatambaa. Au unataka nikupe link ya viwanda vyote! Nadhani ukapumzike sasa sababu kwa leo sitakujibu tena!!!Mzee mwanza mnatambaa wenzenu arusha wameshakua kitambo na wanaendelea kumature, ingia TIC upate ukweli na hivyo viwanda havibadili ukweli kwamba Arusha ina viwanda vingi nje ya Dar