Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Wewe jama ni fala sana

Sijawah kuona mji duniani unaoshindania nafasi ya pili kama mwanzA
Mbona hatujawahi kuskia mabishano ya Mombasa vs Kisumu
It's clear Mombasa is the second city in Kenya and everyone knows that
Back to tz Sasa mwanza mnangangania kitu ambacho hamna
Hamtaki kuachia nafasi 🤣🤣mnatumia nguvu kubwa kujitangaza kwamba nyie ni namba mbili mko ahead of arusha lakin wenyewe mnaokaa hapo mnaelewa hamna kitu hapa mji umepoa kama uko bariadi mzunguko ndio huo hamna Yan uwanja mdogo wa arusha una ndege nyingi kuliko one and only wa mwanza
Ts because hamjiamini... there's nothing special in there ndo maana mnapigania nafasi ya pili Kwa jasho Na damu utadhan mmeambiwa Kuna mirathi
Tangu nakua naambiwa Mwanza ni namba 2 but still Hadi leo hamna investment ya maana watakimbilia kukuonesha rockcity mall...sgr... airport building...soko ...stendi🤣🤣🤣acheni ushamba tukisema investments tunamaanisha private sector ones mje mtuoneshe kiwanda cha sayona sasa 😎
Kubalini tu without government hands there is nothing in there...mji flani local Sana afadhali morogoro atleast iko karibu Na dar
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Matajiri wa Arusha mnauziwa Mbunye 3,000/-??????. Na wanaouza Mbunye ni wakazi wa Arusha humo humo. Yaani hapa Arusha umasikini wenu unafunikwa na utajiri wa kina Laizer. Wakichukua utajiri wa watu wachache wakigawanya kwa idadi ya wakazi per capital inaonekana nene.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Matajiri mnauziwa Mbunye 3,000/-??????
🤣🤣🤣Hiyo ndo cheapest uliyoenda wewe
Kwani hatujuhi pale villa park Zamani nyuma ya kirumba Hadi buku mbili unapata huduma Sheikh😉
 
Hawa nf
Hawa ndio wale wanaojisaidiaga ziwani hawa[emoji1787]
Yan Na ukubwa wote ujui tofauti ya mkoa Na mji
Hiv unajua maana ya population density? Hebu kasome vzr . Hata kama ni mkoa population density inamatter Sana. Halafu unatuletea story za sijui km 25 sijui Nairobi road nk halafu hutaki kusikia population density ya mkoa mzima
 
Nilikuwa Arusha mwaka jana mbunye zipo nje nje ila sehemu za starehe ni chache sana na mji ni mdogo mnooo.
Naona mna peana likes tu Na mapank hapo
Zwazwa wawili wa ziwani mnatiana ujinga🤣🤣
Haya bhana
Ila mapank anaelewa chuga kulivo Na Bata ziwani harudi Tena huyu hata hapo mrina tu alipo hiyo mitaa Mwanza nzima hamna ils shida yeye anachagua ile cheapest ndio anaenda Bora angeenda hata xo au picnic
Sasa kitombile ndio haelewi kitu maskini anaishia tu kusapoti hapa😥
 
Aahahahaa, mimi nipo Chuga hapa hapa.

mnatiana ujinga🤣🤣
Haya bhana
Ila mapank anaelewa chuga kulivo Na Bata ziwani harudi Tena huyu hata hapo mrina tu alipo hiyo mitaa Mwanza nzima hamna ils shida yeye anachagua ile cheapest ndio anaenda Bora angeenda hata xo au picnic
Sasa kitombile ndio haelewi kitu maskini anaishia tu kusapoti hapa😥
Sema tutaftane basi mzee
 
Kwani mnaongelea uchumi au muonekano wa maeneo?
Mnaongelea maisha ya wakazi au mnaongelea nini hasa?.

Tukiweka yote pembeni mtu yoyote anayesema Mwanza kuna mazingira mazuri kuliko Arusha ni hivii haijui Arusha.

Aje aone hoteli zinazolipiwa $3000+ per day, aje aone vivutio na mandhari za hali ya juu. Kuna Estate kibao ukifika hauwezi amini kama upo Tz, anzia Doll Estate hadi kule Farm 63/4 kama sijakosea

Aise ni hivi yeye aje tu tusiongelee mate, ziwa kitu gani kwani?, Arusha kuna maziwa zaidi ya mawili kama hamjui lipo ziwa Duluti, Ziwa Momella n.k
 
Haina noma Mkuu [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mabwawa hayo unaita ziwa????? [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mabwawa hayo unaita ziwa????? [emoji2][emoji2][emoji2]
Hivi ziwa Victoria Kuna watalii Kweli au mnaishiaga kuona mamba tu 😥
Mmeshindwa kulifanya ziwa lenu kuwa la kitalii kabisa mebaki kuvua dagaa tu...
Ila mungu fundi bhana yani kawawekea ziwa na milima tena mkachagua kuishi milimani ukianguka hapo unaserereka moja Kwa moja ziwani Na mawe yanakufata nyuma🤣🤣🤣 unaweza ukafa kifo cha kujisikitikia Sana
 
Ziwa hilo ni uchumi [emoji817], zaidi ya ujuavyo. Ndege moja ya kubeba minofu ya samaki ikiondoka Airport Mwanza kwenda Europe au Middle East jua imeacha zaidi ya TZS 100m Mwanza.
 
Ziwa hilo ni uchumi [emoji817], zaidi ya ujuavyo. Ndege moja ya kubeba minofu ya samaki ikiondoka Airport Mwanza kwenda Europe au Middle East jua imeacha zaidi ya TZS 100m Mwanza.
Na wanaofaidika ni matajiri wachache wanaoweza kumudu kwenye ushindani
Wavuvi wengi Mwanza ni wadogo Sana wenye kujikimu tu
Economy ya mwanza haija spread
Kwa kijana wa kawaida kutoboa kama huna connection ni kama haiwezekani
Kutoboa kupitia hiyo mitumbwi ni haiwezekani
Zao la pamba ni kama limekufa
Michongo mwanza ni migumu
Ni vile tu covid lakini arusha ungeweza kujichomeka kwenye utour guide
Ukaenda mererani
Unajiungaunga kwenye business unaweza ukatoboa ila mwanza uchumi mgumu sana
 
Kwahio mlichoizidi arusha nnini mkuu wangu
Viko vingi, mzunguko wa pesa, ukubwa wa mji, idadi ya watu na makusanyo hiyo ni mifano michache, Arusha ni padogo sana, huwez fananisha na Mwanza. By the way, baada ya Dar, Mwanza ndiyo jiji linalofuata kwa sasa kwenye kila jambo. Na kwa trend ya sasa, naona kuna kila dalili Arusha ikipitwa na Dodoma, na kwa ukubwa, sasa Dodoma kuna kila dalili ni kubwa kuliko Arusha.
 
Takwimu hizo za Magar umezipata wapi mdau? Weka hizo takwim na source yake. Kwa Arusha, ni mji mdogo na kwa hiyo vitu vimesongamana eneo dogo la pale kati, Mwanza ni kubwa my dear, kwa hayo magari ya Arusha ukiyaweka Mwanza yanapwaya.
 
Na huu ndiyo ukweli, mimi kwetu ni kusini, sehemu ya kawaida tu na kwa hoja hii siipendelei MZA au kuichukia ARS, bali ni based on the facts kwani nimewahi kuishi na kufanyakaz huko kote na at least kila Mwaka ninapata trip za miji hiyo na mingine mingi hapa Tanzania, Mwanza ni bora kuliko Arusha, na hata kwenye ile Ligi kati ya Kenya na Tanzania humu JF, Mpambano ni kati ya DSM-Nairobi na Mombasa-Mwanza na ni kwa sababu Dar hadhi yake ni Nairobi na Mwanza mshindani wake ni Mombasa, huwez kukuta Arusha ikipambanishwa na Mombasa, labda Kisumu huko na Nakuru. Kwa hiyo, narudia, Mwanza ni bora kuliko Arusha. Eneo dogo la pale Katikati ya Arusha panavutia, lakini ni eneo dogo sana
 
Kweli tupu, Mwanza kuna ujenzi wa stendi kubwa mbili, moja ni Shinyanga Road na nyingine ni Musoma road. Ile ya Musoma road ni kama ya Dodoma au kuzidi kidogo, na ile ya Shinyanga road ni kama ya Msamvu. Usiichukulie poa Mwanza aisee.
 
Nafikiri hujafika Mwanza mdau.
 
Paragraph ya kwanza, ni ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…