Jina Abigail ni zuri? Nataka kumpa mtoto wa kike

Hili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
Muite jina la mabibo zake.
 
👆👆👆👆

SIWEMA
 
Hayo hayo yanafaa hata bibi atafurahi huko alipo maana atajua Bado anapendwa na kukumbukwa kwa wema ailiuacha hapa duniani
Usimpe mtoto jina la marehemu wa familia au ukoo utakua unamtafutia maadui wa kudumu tangu akiwa mtoto bila kujijua na baadae atajuta kupewa hilo jina
 
Ndugu aisee aise (baba si wema) tuendelee na mjadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…