DuuhhAisha popote ulipo u ar a fucki* cun*... Niliambiwa sikusikia. Nilikusaidia kupata kazi lakini ulichonifanyia malay* ww... Mwanamke una bonge la komo, ushungi tu unakusitiri.. To hell!!
wangu nae anaitwa getrude nilizoea kumuita da getu hatimae ikawa dada kweli. wanawake bwana ningekua sijaoa nisingejihusisha na wanawake tena.wangu nayeye anaitwa Getrude kubabekkk.. niinbox plz unipe mkasa mzima
eti proffesional duuuh..Kuna Maria kawaacha mbali sana wenzake
Proffesional cheater tamaa mbele!!
Pole zao indeed!katika vitu ambavyo wengi hawaamini ni haya ! mie sijawah UMIZWA JAMAN ! sijawah achwa naachaga !so sina la kukumbuka aisee ! pole zao !
Shemeji umenifanya mpaka nitapike huku...Hahhaaa..[emoji3][emoji3][emoji3]
Innocent
Pumbav sana JackyBora hata umewahi kusema wewe
Aqkhuuu. Silitaki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] linikome,yaani umenifanya nimkumbuke yule dogo mpaka alifumwa maana yeye waalimu wa kiume wakawa wanamgombania(nimesoma girls) walinzi ndio usiseme. Akatimuliwa shule.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari kweli
Mtoto wa prof..Jackline, this bitch was a horror story
Nipe namba zake huyo tutaendana maana hata mimi nina wivu na mtulivu mno.Lyidia tuliachana kwa nyodo zako, ulipojua nina Juliet ukaenda kumletea fujo kazini kwake, natamani ukutane na watu wasiojulikana wakubake.
Neema nao malaya *******, kuna limoja nilifukuzia miaka miwili nikijua li waifu matirio kutokana na upole wake kumbe sheitwani tu...nyambafu nilikuja kugundua ni bad news baada ya kukuta analuka na mates wangu duh!Duuh akina jackline wametisha sana,
Ila Neema! neema! neema! wewe ni kiumbe wa ajabu sana, ulinionesha mapenzi hata shetan aliyaogopa, but haurudhiki neema unachit lkn unajitia mtakatifu sana na kila wakati unalia machozi kana kwamba wewe ndie unaonewa. sintosahau siku ile nimebahatisha password ya simu yako. Natamani hata nisingeifungua simu yako siku ile maana kwa jinsi nilivyokuamini na kutamba mtaani duh! aisee Neema wewe sintokusahau ninaamini uliniroga si bure, maana hata nilipokufumania ulikataa katu katu na kujifanya umezirai kumbe naibiwa mie. Ila sawa mungu ndo muweza wa yote na ada niliyokulipia cerificate na diploma pale UCC nilishasamehe. ILA SINTOKUSAHAU!
Kuna nini muraAnna ulijifanya kunisaliti zaidi ya Yuda eti unaolewa na TISS Jambazi mkubwa chakubanga Ulaaniwe wewe na kizazi chako Jina lako nimeliandika mabibo hostel Ulinifanya niishi Kama Kiboko nakula mlo mmoja ili nikufirahishe ila mshenzi ulichonifanyia hadi shetani akinionea huruma nasikia umeolewa mbezi jogoo na shayo TISS alienitishia kuni kill nitakuletea chu**p**i yako
Anna ulijifanya kunisaliti zaidi ya Yuda eti unaolewa na TISS Jambazi mkubwa chakubanga Ulaaniwe wewe na kizazi chako Jina lako nimeliandika mabibo hostel Ulinifanya niishi Kama Kiboko nakula mlo mmoja ili nikufirahishe ila mshenzi ulichonifanyia hadi shetani akinionea huruma nasikia umeolewa mbezi jogoo na shayo TISS alienitishia kuni kill nitakuletea chu**p**i yako
Mkuu Anna ni zaidi ya YudaKuna nini mura
Nyinyi bodaboda mtapigwa shaba shauri zenuHuyo boda boda ndio Mimi nini ?. Nalijua hilo jina
HahahahaWinnie you are fu... ng bastard
Kusameheana na kila.mtu kuendelea na maisha yake ...sio kupasha viporoIItakuwa heri huu uzi ukisaidia watu kusameheana!