Jinsi ya kupika chapati za maji ambazo hazina viungo vingi

Japo sijaoa lkn akifanya hvo ajiandae tu kuondoka namtafutia kosa dogo tu namwambia hata mbona ukideki haukaushi dekio vzr🀣🀣au kwann unaminya dawa ya meno kwa Huku kichwan 🀣
 
Japo sijaoa lkn akifanya hvo ajiandae tu kuondoka namtafutia kosa dogo tu namwambia hata mbona ukideki haukaushi dekio vzr[emoji1787][emoji1787]au kwann unaminya dawa ya meno kwa Huku kichwan [emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji119]
 
Mbn Kuna familia baba ni caterer mama ni hotelier, ishu ni kuelekezana km hujui tulia ufundshwe[emoji16]
πŸ˜€Lakin siku za mwanzo aibu lazima labda ukizoea unaweza jiona umepika kumbe wenzako wanakuchora tuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa unanizidi kupika Jamani si ni aibu πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚saivi nimeacha kupika kabisa baada ya kuachika kisa kupika. kuna siku nilifikia ugenini nililetewa ugali sura haiendani na nilichopikiwa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ulijuaje wii? Pishi la ndizi sijamaliza kufanya, leo umeibuka na chapati za maji!!
Ila zinaonekana tamu πŸ˜‹πŸ˜‹
Na siku ukitaka kupika inabidi umtafte uanze ivi ulisema tunachangia ya vitunguu saumu vingapiπŸ˜‚ shida ya wanafunzi hawasomi notes
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚saivi nimeacha kupika kabisa baada ya kuachika kisa kupika. kuna siku nilifikia ugenini nililetewa ugali sura haiendani na nilichopikiwa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Hatari sana mm nashukuru Mungu wakija rafikizangu au wageni hata nijikaushe utasikia kwani Leo hupiki Cha ajabu hata Sina Cha maana nachopika vyakula vya kawaida tuπŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Hata mm sitaki
Nina nduguyangu nimemfunika chapat za kusukuma,maandaz na pilau labda llkn vingine ni balaa mwanaume yule anapika had wali Nazi kha πŸ˜‚πŸ˜‚
Sikuhiz kaoa mkewe anapika Kwa waiwasi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜‚πŸ˜‚wanaume tunapenda chakula kizuri tulio pitia veta tunakazi kwakweli
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Hatari sana mm nashukuru Mungu wakija rafikizangu au wageni hata nijikaushe utasikia kwani Leo hupiki Cha ajabu hata Sina Cha maana nachopika vyakula vya kawaida tuπŸ˜€πŸ˜€
Kabla ya kuoa mwanamke lazima anioneshe cheti mafunzo ya mapishi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚wanaume tunapenda chakula kizuri tulio pitia veta tunakazi kwakweli
Wanaume wengi wanapenda kula vizuri ni vile tu wanawake ni wavivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…