INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi
Ahsante kwa ufafanuzi VFD imeboreshwa ili kupunguza usumbufu wa mara kwa mara, kutumia garama kubwa lakini kuongeza ufanisi zaidi kama kutunza risiti, kutuma z-repoart automatic nk..

katika upande wa garama kitu ulichokuwa unapata kwa laki sita sasa hivi unapta kwa laki tatu kikiwa kimeboreshwa zaidi, service charge ya kila mwaka kutoka laki mbili na elfu hamsini mpaka elf sitini, ukiwa na magari ya kusambaza bidhaa ulitakiwa kila gari liwe na mshine kwa maana ya laki sita kila gari lakini hapa ni kitendo muuzaji kuwa na simu na printa ndogo ya laki moja na nusu tu, na printer sio lazima sana anaweza kuwatumia wateja online PDF nk,,....
kwahio unaweza kutumia simu yako, pc yako au hata kama una Point of Sale ?
 
ni kweli tunakurahisishia na kupunguza garama kwani bila VFD itabidi ujipange sio chini ya laki sita kununua EFD au upigwe faini ya kuanzia milioni tatu na kuendelea....
Kwa nini msagawe bure hivyo vimashine ... Hii nchi ngumu Sana. Hamuoni kuwa mta-maximize idadi ya watakaolipa kodi kwa haraka na uhakika??
 
Wanachokosea wanatutisha kama watoto wakati wote tushapinda
 
Nyie subirini siku tutakapo watoa kwenye mav8 yenu mpande daladala ndio akili zitawakaa sawa….

Ndio mtajua kwanini mfanyabiashara anaona uzito kulipa kodi…

Purchasing power hakuna hao watakao nunua TRA anakisubiri…kilichobaki mfanyabiashara anakumbana na inflantion…akiangalia runinga watu wanakula mikopo nafuu kwa urefu wa kamba

Subiri kuna siku baharini ndio mtaona ni sehemu salama kwenu…
Sio lazima mtutoe,kuna kustaafu pia na maisha yataendelea..

Hutaki kulipa Kodi Ili ufaidi huduma alizo gharamia nani?
 
Mama nampenda sana hata akiliongoza taifa miaka 100 ni sawa tuu.

Lakini kwa upande wa kodi na ushuru, kodi iko juu mno, na ictoshe kodi ya pango wanamlazimisha aliepanga duka ndie alipe tena kwa lazima wakati mwenye pango ndie analazimika kujilipia yeye kama yeye, kwakweli huu ni uonevu,, kwa mwenendo huu wananchi watashindwa kufungua biashara, tunaomba kodi zipungue atleast asilimia 50%.

Kwa upande wa ushuru wa magari, ushuru uko juu mno na haupungui bali wanaongeza, why!!!! Marais wote wamepita hawazungumzii suala hili, kulikoni!!!! Kwani wakipunguza ushuru wataharibikiwa na nini!!! kwa style hii yatachelewa sana maendeleo, everything tuko nyuma!!!!
 
Vilio gani walitoa kwani walipatwa majonzi. Si ndio nyie mliokamata watu kwa kuhujumu uchumi ahaahahah
Unaonekana ni machinga hata biashara huna..

Tayari TRA wako barabarani asubuhi hii wanawapa taarifa wananchi kwa magari ya matangazo,msije kusema hamkuambiwa.
 
Mama nampenda sana hata akiliongoza taifa miaka 100 ni sawa tuu.

Lakini kwa upande wa kodi na ushuru, kodi iko juu mno, na ictoshe kodi ya pango wanamlazimisha aliepanga duka ndie alipe tena kwa lazima wakati mwenye pango ndie analazimika kujilipia yeye kama yeye, kwakweli huu ni uonevu,, kwa mwenendo huu wananchi watashindwa kufungua biashara, tunaomba kodi zipungue atleast asilimia 50%.

Kwa upande wa ushuru wa magari, ushuru uko juu mno na haupungui bali wanaongeza, why!!!! Marais wote wamepita hawazungumzii suala hili, kulikoni!!!! Kwani wakipunguza ushuru wataharibikiwa na nini!!! kwa style hii yatachelewa sana maendeleo, everything tuko nyuma!!!!
Mama ndio aliweka Kodi juu? Wafanyabiashara mkiangalia salary za watumishi mtaogopa ,ni kweli wanalipa Kodi na ziko juu na pia kuna double taxation na utitiri wa Kodi nk..

Hata hivyo bajeti ijayo serikali inaenda kushusha VAT na kufuta baadhi ya makodi sumbufu Hali kadhalika kupunguza na kuunganisha baadhi ya taasisi..

Haiwezekani kufanya vyote alipoingia tuu bila kufanya tathmni.
 
Zimebaki siku mbili tu mamlaka ya mapato Tanzania kuanzisha kampeni maalumu ya KAMATA WOTE mikoa yote 'Muuzaji kukutwa hajatoa risiti faini yake ni kuanzia 3,000,000 hadi 4,500,000...

Ili kuepuka na faini pamoja na kadhia hiyo jiunge na mfumo wa DIRM VFD ni mfumo mpya uliothibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta kwa kwa shiling laki tatu tu, (300,000 unapata pamoja na printer).

Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakaokuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, inapunguza garama mpaka 50%, hakuna marekebisho ya mara kwa mara n.k.

Wasiliana nasi Dirm VFD kupiga au whtsp 0753688348

View attachment 2101549

View attachment 2101550
Hapa kinachotafutwa ni mapato ya mauzo ya huo mfumo, ambao bila shaka ni wa watu binafsi, na kuna watu wameshachomeka mirija yao humo, its obvious. Tulipokuwa tunapendekeza huu mfumo tulimaanisha uwe unamulikiwa na TRA kwa 100%, na sio kumpa mtu tender exclusive ya kuwauzia watu mfumo, this is ridiculous, watu wanakula kwa urefu wa kamba zao.

Mama ndio aliweka Kodi juu? Wafanyabiashara mkiangalia salary za watumishi mtaogopa ,ni kweli wanalipa Kodi na ziko juu na pia kuna double taxation na utitiri wa Kodi nk..

Hata hivyo bajeti ijayo serikali inaenda kushusha VAT na kufuta baadhi ya makodi sumbufu Hali kadhalika kupunguza na kuunganisha baadhi ya taasisi..

Haiwezekani kufanya vyote alipoingia tuu bila kufanya tathmni.

Nimekuelewa chief The Sunk
 
Unaonekana ni machinga hata biashara huna..

Tayari TRA wako barabarani asubuhi hii wanawapa taarifa wananchi kwa magari ya matangazo,msije kusema hamkuambiwa.

Ndio ni machinga mwenye mtaji wa duka ila ndio silipi kodi ahahaha.

Kwani ni mara ya kwanza kupita na magari tangu tuanze biashara zetu ahahah
 
Sio lazima mtutoe,kuna kustaafu pia na maisha yataendelea..

Hutaki kulipa Kodi Ili ufaidi huduma alizo gharamia nani?

Huduma gani mnatoa nyie…hizo hospitali mnajenga mama anaenda jifungua na ndoo yake ya maji, pamba na kiwembe, huo umeme elfu 27,000/= wa kidume wetu JPM umewashinda, mmepandisha bei na bado umewashinda mnaugawa kwa awamu…bwawa lenyewe ni kitendawili..

Eti kustaafu ndio maana akili zenu zimesimama nyie nikuvimbiwa kwenda mbele mkisubiria kustaafu..mkiona majani yanaisha mnakimbizana na machinga mara tozo mara VFD…mnakamua ng’ombe maziwa majani mnakula nyie…

Halafu mnampigia magoti mchina aje kuwa mkombozi wenu wakati nyie mmening’iniza vitambi hewani
 
Wakati wa kidume wenu mlikuwa hamlipi Kodi? Hizo ndio na viwembe mlikuwa hamuendi nazo? 😆😆..

We ni lofa unaropoka tuu hujui wakati wa kidume wenu hata chanjo za watoto zilikuwa hazipatikani kama tuu ambavyo watoto wa shule walikuwa wanakaa chini na kuanza form 1 kwa mafungu kama nyanya.

Lipa Kodi hakuna umeme wa 27,000 huo ujinga hauwezi kuvumilika mjini..Lipa Kodi hakuna cha bure saizi..

Mwisho kama hospital hazisaidii mbona hamuendi private mnajazana hospital za umma?.

Mfanyakazi analipa Kodi kubwa kuliko wewe machinga kwa hiyo ana haki ya kula vizuri maana ndio mtoa huduma mkuu.
 
Kama hela navyoitafuta kwa tabu hivi kuna mtu anafikiria kuwa itatoka kirahisi kwa kuniletea utoto wa kudai risiti then waje tu ili wawe mabalozi wazuri!
Ukiona Unapata hela bila tabu hiyo sio hela itakuwa sawa na maji tuu..

Ili pesa ilete maana lazima iwe scarce ndio ina command value,hata mwizi ana take risk kupata hiyo hela.
 
Back
Top Bottom