Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwa status hiyo, watakataliwa sehemu nyingi tu na ndio maana kuna umuhimu wa kusikia kutoka kwao ili tupime/tuwaweke kwenye mizani sahihi wao na serikali.[emoji848]hivi wakisharudi Nani atawaajiri wakati tayari ni waasi?
Jeshini kosa la kutokutii amri na uhaini au uasi adhabu inafahamika.Yaani wameshindwa kabisa kukaa nao chini wakamalizana hadi wawafukuze? Kwahio tuna jeshi bado linalotumia nguvu zaidi kuliko akili zaidi. Kwa babahti mbaya sana hata wakiwahoji hawataweza kuandika chochote, hatuna waandishi wenye uthubutu huo
Hao ndio kwa heri hawana la kufanya.Siwafundishi kazi, bali naamini taalamu yenu inawataka mfanye hivyo na si kuishia kupata taarifa za upande mmoja tu kwa maana ya maelezo ya viongozi wa Jeshi na serikali tu bila kuwahoji Vijana waliofukuzwa.
Wateendeni haki hawa vijana ili umma uweze kuwahukumu kwa haki maana teyari wameshaitwa waasi(sifa mbaya sana katika Jamii na kila watakokwenda).
Mazingira ya kufukuzwa hawa vijana, kwa mtazamo wangu, hayana tofauti na mazingira ya wale vijana waliofukuzwa UDOM na hayati Magufuli mwaka 2017.
Yangu ni hayo tu.
Ingekua habari ya udaku, kuanzia kesho ungewaona clouds, millardayo, IFM na viyoutube tv kama Lemutuz etc.Siwafundishi kazi, bali naamini taalamu yenu inawataka mfanye hivyo na si kuishia kupata taarifa za upande mmoja tu kwa maana ya maelezo ya viongozi wa Jeshi na serikali tu bila kuwahoji Vijana waliofukuzwa.
Wateendeni haki hawa vijana ili umma uweze kuwahukumu kwa haki maana teyari wameshaitwa waasi(sifa mbaya sana katika Jamii na kila watakokwenda).
Mazingira ya kufukuzwa hawa vijana, kwa mtazamo wangu, hayana tofauti na mazingira ya wale vijana waliofukuzwa UDOM na hayati Magufuli mwaka 2017.
Yangu ni hayo tu.
Hela hakuna bwasheeKwanini waliwaahidi kuwa wajitolee kwenye ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino kisha watapewa ajira ya kudumu Jeshini?? Kazi imeisha wametimuliwa. Kwani ni kosa kuwakumbusha Wahusika ahadi yao kwao??
Kuna jambo lipo nyuma ya pazia.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]vijana sio waaminifu,vijana hawana nguvu za kiume,vijana waasiKumbuka maneno ya spika kuhusu vijana wa kitanzania
Siwafundishi kazi, bali naamini taalamu yenu inawataka mfanye hivyo na si kuishia kupata taarifa za upande mmoja tu kwa maana ya maelezo ya viongozi wa Jeshi na serikali tu bila kuwahoji Vijana waliofukuzwa.
Wateendeni haki hawa vijana ili umma uweze kuwahukumu kwa haki maana teyari wameshaitwa waasi(sifa mbaya sana katika Jamii na kila watakokwenda).
Mazingira ya kufukuzwa hawa vijana, kwa mtazamo wangu, hayana tofauti na mazingira ya wale vijana waliofukuzwa UDOM na hayati Magufuli mwaka 2017.
Yangu ni hayo tu.
Op yetu kunaa walioenda kuchimba barabara na vyoo kwa kikombe cha babu loliondo waliishia kurudi nyumbani nao waliambiwa hivyo hivyo watapewa kipaumbele cha ajira lakini waliishia homeWanadai kwà sababu kundi hilo mwendazake aliwahakikishia kuwa wataajiriwa
Hela zimerudi siku nyingi mbona .“Tunasikitika kufuta mikataba ya vijana 854 wa JKT kutokana na kufanya vitendo vya uasi.”Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania - Jenerali Venance Mabey
----------
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen. Venance Mabeyo amesema wamefuta mikataba ya Vijana 854 wa JKT ambao ni miongoni mwa walioahidiwa kupewa ajira kwa kujenga Ikulu, Chamwino na hii ni kutokana na Vijana hao kufanya uasi kwa kugoma na kuandamana kwenda Ikulu.
via @ayotv
Mytake ; Gharama kubwa zilizotumika kuwaandaa hao vijana ili kuja kulitumikia taifa zinarejeshwa vipi?
Wewe ni mwehu sasa Magufuli anakuaje tapeli wakati mtu hayupo!Magufuli alikuwa tapeli
Kama walishiriki kuratibu wizi wa kura basi ni karma inawatafuna. Amini nakwambia wote waliofanya au kushiriki udanganyifu na kutangaza kibabe ushindi ule!! Lazima walipe Kuanzia Juu mpaka chini. Mungu yuko kazini sababu Binadamu tulishindwa na Matokeo mnayaona.Kwa tetezi nasikia wamefanya kazi zaidi ya miaka 3+, wamejenga Chamwino, Ukuta wa Mererani, majengo ya magereza Ukonga, ndio walio ratibu wizi wa kura na usimamizi wa uchaguzi 2020 na n.k, pia waliahidiwa baada ya kumaliza shughuli zote hizo watapewa ajira jeshini lakini baadae upepo ukageuka na ndio maana walifanya mandamano kwenda Chamwino.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Acha woga mbona huko mtaani wako wengi sana kukiko hata hao waliojiriwa suma jkt na hawafanyi lolote .Tukae mguu sawa soon mtaani
Duuh...inasikitisha sanaVijana hao, hawajawahi kulipwa chochote,walikuwa wanapewa chakula na malazi tu. Wengi ni kidato cha sita kutoka mikoa ya kanda ya ziwa, wameishi na kufanya kazi ikulu ya Dodoma kwà zaidi ya miaka miwili,leo wanafukuzwa bila hata kupewa nauli ya kwenda makwao
Kuna kiongozi aliwaambia wataajiriwa au hujui?JKT siyo sehemu ya kutoa ajira, tunarudia kila mara hamuelewi dah
Uko sahihi sana mkuu sio huko tu, Ni katika utawala wa Magu ndio Mbuge anakuwa elected based on merits enzi za nyuma mbunge ilikuwa ni kwanza awe financially stable sana regardless ni Drug Dealers or Mafia kivyovyote awe na PowerKuna mfumo wa maisha ambao kuuvunja ni vigumu! Ni awamu ya marehemu Magufuli watu kutoka familia za "kawaida" waliweza kuajiliwa usalama wa taifa, JWTZ, TRA, BOT na kadhalika.
Enzi zetu zikitangazwa nafasi za Polisi au Jeshi unashangaa watu kutoka Dar es salaam, Moshi, nk wanakuwa wazaliwa wa Kwimba!
"...aliyenacho ataongezewa na asiye nacho hata kile kidogo alichonacho atanyanganywa..."