Nilipomsikia Ndugai juzi akiwakandia vijana nikajua kuna jambo linakuja!
Na ndiyo tatizo la kuendekeza ukada wa CCM hadi kwenye vyombo vya dola. Leo hii huko TISS wamejaa uvccm ambao hawana maadili kabisa ya kazi hiyo ndiyo wanasumbua hata kwenye mabaa na vibastola vyao. Zamani ni vigumu sana kuwajua hao watu.Ishu ni hawana utii kwa jamhuri. Huwezi goma jeshini, kule ni kutii amri tu, inaonekana hata mafunzo ya kijeshi hawakuyapata ipasavyo.
pesa ya kuwalipa haipo. ndio maana wana lob lob tuUjanja ujanja![emoji124][emoji124][emoji124]Tunajua mlikuwa hamtaki kuwaajiri,visingizio bakini navyo!
hata mimi nilishangaa from nowhere anaongelea vijana katikati ya mjadala usiohusu vijana. idiot.Nilipomsikia Ndugai juzi akiwakandia vijana nikajua kuna jambo linakuja!
Hawa kwakuwa tayari wana mafunzo wanaweza kuunda vikosi vya kuasi na wakasumbua sana jeshi na amani ya nchi.Wawe makini sana.Hawa ni hatari kwa usalama wa taifa
Hawa vijana zaidi ya 800 walitokea kanda ya ziwa na JPM alikuwa tayari kuwapa ajiri. Sasa wako huku wanazurura .Nimesoma habari moja kuwa JKT imesitisha mikataba na kuwafukuza vijana zaidi ya 800 baada ya kuandamana Ikulu wakinishinikiza kuajiriwa
Baada ya hao vijana kuja mtaani,wanajua kushika silaha na mafunzo ya awali ya kujihami,je hao vijana hawawezi kujiunga na vikundi vya kigaidi kama cha ISS huko Msumbiji?
Je serikali inawafuatilia hao vijana zaidi 800 mienendo yao mitaani kama sio rahisi kushawishika kujiunga na vikundi vya kigaidi kwa ukosefu wa ajira na kuleta majanga nchini?
Au unaweza ukawa mtego,wakashawishiwa kugoma wadai ajira ili watimuliwe wakajiunga na ISS huko Msumbiji
Serikali ibuni mikakati ya kuajiri vijana au kuwawezesha kupata mazingira rahisi kujiajiri ili kuepuka kushawishika kuvuka mpaka kule kusini na kujiunga na ISS
Narudia kuwatimua vijana 800 JKT ni hatari zaidi kwa usalama uliopo kusini mwa Afrika
Swali la kwanza kujiuliza hao ni askari kamili waliohitimu mafunzo yote ya kijeshi? Maana askari kamili si rahisi kugoma. Wanaelewa maana ya neno uasi na tafsiri yake kijeshi.Mkuu hawajajua askr kugoma hii ni picha mbaya hta kwake raia na nnchi kwa ujumla uliza nnchi zenye vikosi vya uasi inakuwaje afuu unakuja hapa unashabikia ujinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haina kapicha mkuu?Kwa kichapo walichopata hawatakuja kusahau, nasikia walikomaa wanataka kwenda msata kuhenya hapo washamgomea Mbuge wanataka onana na Samia tu, zikaletwa karandinga haya pandeni mwende msata kufika msata MP Kama wote wanawasubiria, wakapata kipigo heavy na kusafirishwa makwao.
Sidhani kama walipitia mafunzo kamili ya kijeshi, hakuna mwanajeshi aliyekamilika kimafunzo anayegoma kirahisi rahisi na kuandamana. Wale ni watii 100% wa maagizo ya Jamhuri maana wanajua tafsiri ya neno uasi.
Naona leo umemkubali mwendazake kimya kimya, dunia hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ujanja ujanja![emoji124][emoji124][emoji124]Tunajua mlikuwa hamtaki kuwaajiri,visingizio bakini navyo!
Kwenda kinyume na maagizo ya wakubwa zako jeshini ni kosa la kupigwa risasi hadi kufa,, wamehurumiwa kufutiwa mkataba "ndo maana mabeyo amesema kuna adhabu kubwa ya uasi na ndogo" going against order ni uasiYaani watu wanapodai haki zao ndiyo uasi! Bora tu niliahirisha kwenda Monduli enzi zile. Maana mpaka muda huu ningekua nimeshambamiza mtu risasi ya kichwa.
Na kwakuwa kuna Waislam miongoni mwa hao vijana kwakweli hali ni ya hatari zaidi.Nimesoma habari moja kuwa JKT imesitisha mikataba na kuwafukuza vijana zaidi ya 800 baada ya kuandamana Ikulu wakinishinikiza kuajiriwa
Baada ya hao vijana kuja mtaani,wanajua kushika silaha na mafunzo ya awali ya kujihami,je hao vijana hawawezi kujiunga na vikundi vya kigaidi kama cha ISS huko Msumbiji?
Je serikali inawafuatilia hao vijana zaidi 800 mienendo yao mitaani kama sio rahisi kushawishika kujiunga na vikundi vya kigaidi kwa ukosefu wa ajira na kuleta majanga nchini?
Au unaweza ukawa mtego,wakashawishiwa kugoma wadai ajira ili watimuliwe wakajiunga na ISS huko Msumbiji
Serikali ibuni mikakati ya kuajiri vijana au kuwawezesha kupata mazingira rahisi kujiajiri ili kuepuka kushawishika kuvuka mpaka kule kusini na kujiunga na ISS
Narudia kuwatimua vijana 800 JKT ni hatari zaidi kwa usalama uliopo kusini mwa Afrika
Nadhani kuna mabadiliko yanaendelea. Tusubiri.Na ndiyo tatizo la kuendekeza ukada wa CCM hadi kwenye vyombo vya dola. Leo hii huko TISS wamejaa uvccm ambao hawana maadili kabisa ya kazi hiyo ndiyo wanasumbua hata kwenye mabaa na vibastola vyao. Zamani ni vigumu sana kuwajua hao watu.
Obvious waliandamana sababu ya posho na vitu kama ivyoKuna sehem katika clip ya mabeyo kasema kuwa waliahidiwa ajira.Au Mimi ndio sijasikia vizuri?
Tatizo njia zao za kudai haki ni za kipuuzi sana. Nani aliwaambia kudai haki mpaka ugome ? Unapogoma ujue unaleta matatizo mengine na kurudisha baadhi ya mambo nyuma.Kudai haki zao ni uasi?
Ngoja waungane na wanakarateka wa misikitini. Ni jihad tuMbona tuna maelfu ya Mgambo ambao hawana kazi kitaa ila huo mchongo wa Iss sio sawa na kulinda geti
Na kwakuwa kuna Waislam miongoni mwa hao vijana kwakweli hali ni ya hatari zaidi.
Ugaidi na Jihad vitapamba moto. Serikali iliangalie hili jambo.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
ukifanya hivo kijeshi ni uasi, bora wangefanya shari kamili kuliko nusu shariYaani watu wanapodai haki zao ndiyo uasi! Bora tu niliahirisha kwenda Monduli enzi zile. Maana mpaka muda huu ningekua nimeshambamiza mtu risasi ya kichwa.