JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

Ishu ni hawana utii kwa jamhuri. Huwezi goma jeshini, kule ni kutii amri tu, inaonekana hata mafunzo ya kijeshi hawakuyapata ipasavyo.
Na ndiyo tatizo la kuendekeza ukada wa CCM hadi kwenye vyombo vya dola. Leo hii huko TISS wamejaa uvccm ambao hawana maadili kabisa ya kazi hiyo ndiyo wanasumbua hata kwenye mabaa na vibastola vyao. Zamani ni vigumu sana kuwajua hao watu.
 
Hawa kwakuwa tayari wana mafunzo wanaweza kuunda vikosi vya kuasi na wakasumbua sana jeshi na amani ya nchi.Wawe makini sana.Hawa ni hatari kwa usalama wa taifa

Hao sio askr elewa kiswahili mkuu ni vijana walio kuwa chiniya malezi hata silaha hajifunzi deeply unafkir jeshi ni wajinga wakufunze afu wakurudishe?? Shida mnajidanganya eti wanajua kutumia silaha
 
Nimesoma habari moja kuwa JKT imesitisha mikataba na kuwafukuza vijana zaidi ya 800 baada ya kuandamana Ikulu wakinishinikiza kuajiriwa

Baada ya hao vijana kuja mtaani,wanajua kushika silaha na mafunzo ya awali ya kujihami,je hao vijana hawawezi kujiunga na vikundi vya kigaidi kama cha ISS huko Msumbiji?

Je serikali inawafuatilia hao vijana zaidi 800 mienendo yao mitaani kama sio rahisi kushawishika kujiunga na vikundi vya kigaidi kwa ukosefu wa ajira na kuleta majanga nchini?

Au unaweza ukawa mtego,wakashawishiwa kugoma wadai ajira ili watimuliwe wakajiunga na ISS huko Msumbiji

Serikali ibuni mikakati ya kuajiri vijana au kuwawezesha kupata mazingira rahisi kujiajiri ili kuepuka kushawishika kuvuka mpaka kule kusini na kujiunga na ISS

Narudia kuwatimua vijana 800 JKT ni hatari zaidi kwa usalama uliopo kusini mwa Afrika
Hawa vijana zaidi ya 800 walitokea kanda ya ziwa na JPM alikuwa tayari kuwapa ajiri. Sasa wako huku wanazurura .
 
Mkuu hawajajua askr kugoma hii ni picha mbaya hta kwake raia na nnchi kwa ujumla uliza nnchi zenye vikosi vya uasi inakuwaje afuu unakuja hapa unashabikia ujinga
Swali la kwanza kujiuliza hao ni askari kamili waliohitimu mafunzo yote ya kijeshi? Maana askari kamili si rahisi kugoma. Wanaelewa maana ya neno uasi na tafsiri yake kijeshi.
 
Kwa kichapo walichopata hawatakuja kusahau, nasikia walikomaa wanataka kwenda msata kuhenya hapo washamgomea Mbuge wanataka onana na Samia tu, zikaletwa karandinga haya pandeni mwende msata kufika msata MP Kama wote wanawasubiria, wakapata kipigo heavy na kusafirishwa makwao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haina kapicha mkuu?
 
Sidhani kama walipitia mafunzo kamili ya kijeshi, hakuna mwanajeshi aliyekamilika kimafunzo anayegoma kirahisi rahisi na kuandamana. Wale ni watii 100% wa maagizo ya Jamhuri maana wanajua tafsiri ya neno uasi.

Kabisa mkuu
 
Yaani watu wanapodai haki zao ndiyo uasi! Bora tu niliahirisha kwenda Monduli enzi zile. Maana mpaka muda huu ningekua nimeshambamiza mtu risasi ya kichwa.
Kwenda kinyume na maagizo ya wakubwa zako jeshini ni kosa la kupigwa risasi hadi kufa,, wamehurumiwa kufutiwa mkataba "ndo maana mabeyo amesema kuna adhabu kubwa ya uasi na ndogo" going against order ni uasi
 
Yaani wameshindwa kabisa kukaa nao chini wakamalizana hadi wawafukuze? Kwahio tuna jeshi bado linalotumia nguvu zaidi kuliko akili zaidi. Kwa babahti mbaya sana hata wakiwahoji hawataweza kuandika chochote, hatuna waandishi wenye uthubutu huo.
 
Nimesoma habari moja kuwa JKT imesitisha mikataba na kuwafukuza vijana zaidi ya 800 baada ya kuandamana Ikulu wakinishinikiza kuajiriwa

Baada ya hao vijana kuja mtaani,wanajua kushika silaha na mafunzo ya awali ya kujihami,je hao vijana hawawezi kujiunga na vikundi vya kigaidi kama cha ISS huko Msumbiji?

Je serikali inawafuatilia hao vijana zaidi 800 mienendo yao mitaani kama sio rahisi kushawishika kujiunga na vikundi vya kigaidi kwa ukosefu wa ajira na kuleta majanga nchini?

Au unaweza ukawa mtego,wakashawishiwa kugoma wadai ajira ili watimuliwe wakajiunga na ISS huko Msumbiji

Serikali ibuni mikakati ya kuajiri vijana au kuwawezesha kupata mazingira rahisi kujiajiri ili kuepuka kushawishika kuvuka mpaka kule kusini na kujiunga na ISS

Narudia kuwatimua vijana 800 JKT ni hatari zaidi kwa usalama uliopo kusini mwa Afrika
Na kwakuwa kuna Waislam miongoni mwa hao vijana kwakweli hali ni ya hatari zaidi.

Ugaidi na Jihad vitapamba moto. Serikali iliangalie hili jambo.
 
Na ndiyo tatizo la kuendekeza ukada wa CCM hadi kwenye vyombo vya dola. Leo hii huko TISS wamejaa uvccm ambao hawana maadili kabisa ya kazi hiyo ndiyo wanasumbua hata kwenye mabaa na vibastola vyao. Zamani ni vigumu sana kuwajua hao watu.
Nadhani kuna mabadiliko yanaendelea. Tusubiri.
 
Kuna sehem katika clip ya mabeyo kasema kuwa waliahidiwa ajira.Au Mimi ndio sijasikia vizuri?
Obvious waliandamana sababu ya posho na vitu kama ivyo
Wanasahau kwamba hiyo kazi utii ndio kila kitu
Walitakiwa wawe na uvumilivu kwa kila hali
 
Na kwakuwa kuna Waislam miongoni mwa hao vijana kwakweli hali ni ya hatari zaidi.

Ugaidi na Jihad vitapamba moto. Serikali iliangalie hili jambo.

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app

Kwani waislamu wana nini mkuu unaenda mbali na kuvuka mipaka sasa udini unaingia vipi na ugaidi
 
Yaani watu wanapodai haki zao ndiyo uasi! Bora tu niliahirisha kwenda Monduli enzi zile. Maana mpaka muda huu ningekua nimeshambamiza mtu risasi ya kichwa.
ukifanya hivo kijeshi ni uasi, bora wangefanya shari kamili kuliko nusu shari
 
Back
Top Bottom