Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 714
- 1,193
Sindo maana nikasema askari aliyekamilika...Lakini hao sio wanajeshi awajaajiriwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sindo maana nikasema askari aliyekamilika...Lakini hao sio wanajeshi awajaajiriwa.
Ni bora kupata hasara kuliko kufuga Waasi. Jeshi Silaha yake kubwa ni utii. Tukiwa JKT miaka hiyo tulifundishwa kuwa Tii kwanza amri iliyotolewa. Hakuna muda wa mjadala jeshini. Mko Vitani kamanda anakwambia mpige risali adui unaanza kusema mkojo umenibana....mtakufa“Tunasikitika kufuta mikataba ya vijana 854 wa JKT kutokana na kufanya vitendo vya uasi.”Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania - Jenerali Venance Mabey
----------
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen. Venance Mabeyo amesema wamefuta mikataba ya Vijana 854 wa JKT ambao ni miongoni mwa walioahidiwa kupewa ajira kwa kujenga Ikulu, Chamwino na hii ni kutokana na Vijana hao kufanya uasi kwa kugoma na kuandamana kwenda Ikulu.
Mytake ; Gharama kubwa zilizotumika kuwaandaa hao vijana ili kuja kulitumikia taifa zinarejeshwa vipi?
We jamaa unakaza sana kichwa...kabla ya kuenda jkt mnaambiwa kabisa JKT HAITOII AJIRA, ila vyombo vya usalam (polis, magereza, uhamiaji na jwtz) wakiwa na upungufu wa askar wakihitaji ndipo wanaenda jkt kuchukua vijana wenye sifa wanazozitaka...sasa ikitokea wamekuja jkt kuchukua vijana kama nawewe ukiwepo huko mkataba wako haujaisha ndo bahati imekuangukia ...Pumbavu! Hao wengine walioajiriwa ni special sana kwamba hawaendi chooni au, kama ni hivyo hao wengine wote walioajiriwa basi wafukuzwe kazi pumbavu
Hakuna bongo hii wakuchinja mtu eti kwajili hana ajira.hajazaliwa mtu huyo.kama kuandamana tuu kudai Haki za msingi sukari imepanda bei watu wanashindwa itakuwa kukosa ajira?Sawa jiaminishe ivyoivyo watakapo anza kuchinja ovyo watu mtaani ndo utajua umuhimu Wa kuwaajiri hawa vijana.
Mgambo wana mafunzo gani zaidi ya kukimbiza kuku?
Huwezi shinikiza ajira jeshini lazima kea sasa ufanyiwe vetting ya nguvu hao wamejitoa wenyewe wakiwa kipindi cha kufanyiwa vettingNi vyema jeshi wakaona haja ya kurecruit hao vijana pindi kunapokua na uhitaji kuliko kuwapa mafunzo na kuwapigisha mzigo for years bila kuwa na uhakika wa kuwapa hizo ajira.
Nadhani wamefundishwa zaidi shughuli za ujenzi. Wakitumia ujuzi huu vizuri, hawana haja ya kuiba. Kazi za kujenga zipo nyingii!Hawa kwakuwa tayari wana mafunzo wanaweza kuunda vikosi vya kuasi na wakasumbua sana jeshi na amani ya nchi.Wawe makini sana.Hawa ni hatari kwa usalama wa taifa
Kwan mkuu walivyo andamana kuna shida yoyote walileta mtaan kwa wakaz wa Dodoma na police walikua wapi chin ya kamanda mulotoMimi nimeshangaa sana vijana hao kujipanga kufanya maandamano bila intelijensia ya jeshi kuwabaini mapema na kuwadhibiti.Hivi jeshi letu siku hizo likoje?
Muanze kujifunza kumaliza siku bila kumtaja Magufuli. Mnamtaja mara nyingi kuliko wanavyomtaja wafuasi wake. Inaonesha mzimu wake unawatesa nyie nyumbu kuliko vile unavyowatesa wafuasi wake.Watu waliopitia mafunzo ya kijeshi ni wengi sana Tanzania, hao Iss tutawagawana kabla hata ya Mapolisi hawajaingilia kati
Tulivyopinda hivi halafu mtu aje na kilemba kutushurutisha,Magufuli mwenyewe kashindwa
Hahahah hatar sanaYaani watu wanapodai haki zao ndiyo uasi! Bora tu niliahirisha kwenda Monduli enzi zile. Maana mpaka muda huu ningekua nimeshambamiza mtu risasi ya kichwa.
Anzeni kujifunza kutuma post bila kumtaja hayati. Ni ngumu ila mtazoea tu. Inavyoonesha legacy yake imepanga bure vichwani mwenu.Sasa vijana hawa walichoshwa na utapeli wa mzee pombe.
Hawafai kuwa wanajeshi hao, askar unaitisha mgomo?, wakiingia huko si wataleta kirusi ndani ya jeshi, jeshi ni utii na uvumilivu,Amiri Jeshi Her Excellency Madam President of URT Hon.Samia S.Hassan,please have mercy to those young Soldiers. They completed their task @building New State Houses, consider them and listen to what really happened there.
Hao ni vijana wetu,usikalie Ikulu iliyojengwa kwa dhulma ya nguvu za vijana hao.Waliahidiwa ajira je,wamepatiwa ajira/ujira waliostahili?Usikute wamewa provoke ili wapate jinsi ya kuwamwaga.Huko waendako ni salama?Kama wameasi huko mitaa kutakuwa salama?