TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
RIEP Job Ndugai. Tutakukumbuka toka enzi zile ukiwa naibu spika, hadi ulipolazimishwa kuachia uspika.
Msalime mzee wa speed and standards Samuel Six (6)
 
Terrible.

Walimruhusu Magu ashinde halafu wakamfyeka.

They mock us, and most importantly they laugh at us.

Kwao ni kama mchezo wa karata tu.
 
dhuu, codes zako nazielewa manake zinzfanania na ambazo nizisikia mahala ikabidi nizibe masikio manake nilona ni za hatari sana
 
Uliyeandika huu wasifu ni KIpunga,Shule ya msingi 1991-1997 ????? ,Shame !
 
Alizaliwa Januari 21, 1963 na kupata elimu ya msingi kutoka Shule ya Msingi Mtare kuanzia mwaka 1991-1997. Alianza elimu ya Sekondari ya Kibaha mwaka 1978-1981 na kumalizia Shule ya Sekondari Old Moshi kuanzia 1982-1984.
Huo mwaka wa shule ya Msingi ni wa kurekebisha
 
RIP SCHOOL MATE WANGU
 
Kama hivyo ndivyo, wale watu waliomfukuza kwenye kiti cha uspika na kutaka kumuua iwapo angekaidi kuondoka, unadhani angegombea uspika tena awamu hii wangeshindwa kummaliza?

What is the difference? Aliona kugombea uspika wakati huu ni salama? Obviously NOT, haikuwa salama kabisa ndio maana wamemfyekelea mbali.

Kwanini hakulijua hilo? Siamini kama alikuwa mjinga kiasi hicho?

Probably he was blinded by some false assurances and promises?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…