Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Hawa mademu huwa hawajielewi. Wanataka na Heche awe mwoga kama wao. Ndo maana wanashikwa shikwa makalio. Wanashangaa Heche anasimama imara.Kama Magufuli alikuwa Rais Bora baada ya Nyerere kwa kubwabwaja ije iwe kwa heche?
Mkapa aliita watu marofa mkashangilia
Mwinyi aliwaita kichwa Cha mwenda wazimu mkashangilia
Samia aliwaambia tutazenguana mkapiga makofi
Waulize polisi kwa nini Hawajawa matured. Kwa nini wanapokea orders za kipumbavu halafu wanachekelea kama mazuzuKwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Huyo anajua mjini ni Dar! Mjinga sana huyo!Mimi nakaa Mtaa wa Majengo Mapya, Mkolani, Jijini Mwanza karibu na inapokaa familia ya John Heche. Kama hapo ni kijijini,poa!
Action and reaction are equal and oppositeKwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Ni kweli, maana polisi wako juu ya sheria, hivyo wanatakiwa kuambiwa ukweli kwa kubembelezwa.Hata mimi polisi wanamlea vibaya
USSR
Je polisi wana wajibu wa kuwazuia cdm kuingia itilima? Huwa wanaenda kuwazuia tembo wakidhuru watu?Polisi wetu ni wapole sana ndio maana akina Heche wanajisahau na kuwatukana. Mimi niwe OCD aniseme hivyo? Iiiiiiiiiiiiiii!!!!!
Chacha wangwe kwa sura ya hecheMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"
Acha upumbavu , nimeandika ninachofikilia mie ,sio unachofikilia wewe na akili ya takataka, pumbavu sanaWe nawe ni zombie, huyo lofa wanamlia timing, halafu umsaidie. Acheni ulofa endesheni siasa km watu wazima wenye akili
Polisi wetu ni wapole sana ndio maana akina Heche wanajisahau na kuwatukana. Mimi niwe OCD aniseme hivyo? Iiiiiiiiiiiiiii!!!!!
Unatumiaje njia ya kierevu kudeal na watu mashetani na katili kama wale..tutolee ustaarabu wako wa kinafikiSahihi ipatikane njia ya KIEREVU ya kuwashinda wajinga lakini sio ulimi kuwa mwepesi kuliko ubongo.
https://www.facebook.com/Kwa ujinga unaofanywa na hawa machawa sio wa kufumbia macho.
Ccm inaongozwa na wajinga sana
Kuna mtu huko Nchi ya Mbali aliwahi kupewa ufalme kabisa ila mdomo ulikua hatari sana.Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Huyu Heche ni mpumbavu, kwa vile chadema wanataka ushoga basi anafikiri anaweza kuolewa na OCD?Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"
Utovu mkubwa wa nidhamu, hawana adabu Hawa kenge maji, askari yupo hapo anakulinda mara unaanza kumporomoshea maneno, kwani hamna sera za kuwapa hao kenge wenu, mpaka mpamie vyombo vya ulinzi na usalama?, askari anaweza kufungua kesi ya kugedheheshwa ikaunguruma mahakamani, baadae makapiga kelele mnaonewa, pumbavu sana, nashauri kesi ifunguliwe ya kutweza na kufedhehesha kiongozi wa Umma akiwa kwenye majukumu yake, sote ni mashahidi, hakuna sheria ya kufedhehesha mtu, KESI IFUNGULIWE MARA MOJA!Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"
Mtaua wangapi damu mlizokunywa zinawapa mawengeNingelikuwa mimi ndio huyo OCD, Heche angelikuwa mochwari sasa hivi!
Utafanya ninin? kwa sheria ipi?SHULE YENYEWE FORM FAILUREPolisi wetu ni wapole sana ndio maana akina Heche wanajisahau na kuwatukana. Mimi niwe OCD aniseme hivyo? Iiiiiiiiiiiiiii!!!!!