Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Huyo hapo ndiye shahidi nambari 2 Justine Eriya Kahaya.

Shahidi ni mwanachama mkereketwa na kada wa ccm.

Jee haki hapo ipo au itachelewa?

Ewe Mungu isaidie sehemu inayo umizwa kwenye kesi hii.View attachment 1988721
Kwenye kesi ambaye haruhusiwi kuwa shahidi ni mke au mume pekee! Hata kama ni Mwenyekiti wa CCM, mahakama itazingatia ushahidi utakaotolewa pamoja na mahojiano ya kutoka kwa mawakili wa pande zote. Muhimu kwenye kesi ni Mahakama kuwa huru na wala si kuangalia huyu ni mwanachama wa chama gani na anatoa ushahidi dhidi ya mwanachama wa chama gani.
 
Asante sana kiongozi kwa utaalamu wako wa sheria
 
Nikionaga kijana yupo CCM huku akionyesha kufurahia kwake kuwa upande huo huwa nawaza sana,either anaye ndugu yupo kitengo anampa mpa hela za kula au yeye mwenyewe anafaidika kwa njia anazozijua yeye kuwepo huko.
 
Chadema wakishika madaraka utasema hivyo hivyo, ndio hulka ya mwanadamu kusukumizia shida zake serikalini… ndio maana USA wanacheza na akili za Waamerika na kupokezana vijiti lawama zihamie timu B then A then B kuja tahamaki kiama hiki hapa kimekukuta unawaacha wahuni na michezo yao. Siasa ni sayansi ya Sanaa na CCM kwa hapa bongo ndio mkemia mkuu.
 
Walimpanga wakamwambia aseme hana chama wala sio mkereketwa, hawakujua aliwahi kupiga picha na shati lao.
Unataka kuniamba wale wasanii wote huvaa matisheti ya CCM kipindi cha kampeni ni wanachama? Au mimi ndio sifahamu maana halisi ya mwanachama…Nadhani ndio maana ulaya na USA haya matisheti yalitupiliwa mbali kwa asilimia kubwa.
Kwa uelewa wangu mwanachama ana kadi hai ya chama kwa maana ya kuilipia kila mwaka.
 
Nikionaga kijana yupo CCM huku akionyesha kufurahia kwake kuwa upande huo huwa nawaza sana,either anaye ndugu yupo kitengo anampa mpa hela za kula au yeye mwenyewe anafaidika kwa njia anazozijua yeye kuwepo huko.
... Huyo alikuwa anaishi na Sabaya akimpelekea chai na chakula cha mchana ofisini; mpiga picha. Pumbavu kweli kweli.
 
Tusaidiane hapo tafadhali, wewe unapaonaje?

Unadhani hao ni machinga dhidi ya mgambo wa jiji?
 
Tusaidiane hapo tafadhali, wewe unapaonaje?

View attachment 1988807

Unadhani hao ni machinga dhidi ya mgambo wa jiji?
Mimi naona huyo mwenye 🧣 shingoni bora angeitumia kujinyongea akafa kifo cha kishujaa kama Mkwawa kuliko ilo jiwe la huyo mzee pembeni hapo likimsindikiza aende zake.
 
Hakuna cha sanaa wala mkemia CCM ukiitoa tume ya uchaguzi na askari/jeshi hakuna uchaguzi watashinda mpaka dunia inafika mwisho,ni wizi tu wanafanya hawana jipya.

Mark my words!!!
 
Vipi kuhusu kuukana uanachama wake hadharani kwa uongo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…