Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Mahakama ndio itasema ni watu wa ccm au ni chadema wenzie!
Mungu wetu wote ni waki .Ipo siku isiyo na jina hapa duniani mtalipa mambo haya.Adhabu haipo Mbinguni Iko hapa duniani.Hata wewe @ kipara kipya ulivyo mpenzi mtukuka wa CCM hilo ungeweza kulifanya.
 
Uko sahihi kabisa!!

Shida ni kwanini adanganye mahakama kuwa yeye siyo kada wa CCM ?Lengo la kuficha ukada ni upi?

Lakini pia ni kusaidie,Kaka yake amesema jamaa waliomtoa ni CCM kwa makubaliano aje kuwa shahidi .
 
Acha porojo nenda kaisaidie mahakama kama unajua ukweli wa hiyo kesi na sio kujificha nyuma ya camera.
 
Akihojiwa na online media, shahidi katika kesi ya Mbowe bwana Kaaya amesisitiza yeye sio mwanachama wa chama chochote cha siasa.

Amesema kupiga picha na viongozi au kuvaa nguo ya chama cha siasa sio kigezo za kuwa mwanachama wa chama hicho.

Ameongeza kwamba mbona Kikwete alipiga picha na Tundu Lissu hamkuongea kitu.

Amesema kwamba watu waache kumfuata fuata kwani hawamlishi wala hawamvishi na kila mtu ana figo yake hapa mjini.
 
Kwanini amekimbilia kudeactivate account ya facebook?

Angetulia tu, anavyotapa tapa anazidi kujichanganya.
 
Kwanini amekimbilia kudeactivate account ya facebook?

Angetulia tu, anavyotapa tapa anazidi kujichanganya.
Wewe ndio unaona anajichanganya mwenzio kakuambia anazo figo zake, simu ni yake na account ni yakwake pia, kufuta lini na kwanini ni kiherehere chako tu Mmeru wa watu anazo sababu zake kama ilivyo kwa figo na mabandama yake,… we huna kwani?
 
Mbona watu walishangilia kifo cha magufuli? Wakashangilia kifungo cha Sabaya. Au hawakujua kama walikua wanashabikia maumivu ya binadamu wenzao? Au Binadamu ni mbowe peke yake, wengine wote ni mbuzi.
Kwa sababu ni fedhuli na wauaji
 
Hakuna cha sanaa wala mkemia CCM ukiitoa tume ya uchaguzi na askari/jeshi hakuna uchaguzi watashinda mpaka dunia inafika mwisho,ni wizi tu wanafanya hawana jipya.

Mark my words!!!
Wapi hapa duniani ambapo uchaguzi haupo bias?
 
Huyo dogo ni chakula akili yake haiko sawa.
 
Mbowe anasukumwa ndani soon ..

Baada ya Kaaya atakuja shaidi mmoja mtaanguka presha

NB:Ndg zake Freeman wasiwachie hii kesi wahuni ndg yao atazama soon.

Mpaka sasa JMT 2 - Makamanda 0
 
Mbowe anasukumwa ndani soon ..

Baada ya Kaaya atakuja shaidi mmoja mtaanguka presha

NB:Ndg zake Freeman wasiwachie hii kesi wahuni ndg yao atazama soon.

Mpaka sasa JMT 2 - Makamanda 0
Yaani Magufuli uwezo wake ndio uliishia kumwamini Sabaya amtengenezee kesi Mbowe kwa kushirikiana na Kingai ! ni aibu sana kwa nchi
 
Yaani Magufuli uwezo wake ndio uliishia kumwamini Sabaya amtengenezee kesi Mbowe kwa kushirikiana na Kingai ! ni aibu sana kwa nchi
Nawambieni Hii kesi msicheze nayo Anakwenda na maji ..

kama wewe ndugu wa Freeman chagueni kuifwatilia hii kesi kwa umakini dalili sio nzuri
 
Wanaweza kumfunga lakini hakuna ushahidi wa kumtia hatiani. Tuna taasisi za ajabu sana nchini badala ya kusimamia na kutetea haki sasa zimeamua kusimamia na kuutetea udhalimu nchini.

Nawambieni Hii kesi msicheze nayo Anakwenda na maji ..

kama wewe ndugu wa Freeman chagueni kuifwatilia hii kesi kwa umakini dalili sio nzuri
 
Mkuu mbona unahaha kadi ya chama kaka yake kaileta .Yeye yuko na mawakili wa Jamhuri wana mkaririsha Kaka yake kaenda katuleta kadi.Wewe tulia hivyo hivyo
 
Wanaweza kumfunga lakini hakuna ushahidi wa kumtia hatiani. Tuna taasisi za ajabu sana nchini badala ya kusimamia na kutetea haki sasa zimeamua kusimamia na kuutetea udhalimu nchini.

Chifu, Leteni masihara ...

Chagueni kuifwatilia hii kesi vyema.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…