JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

Hapana ni viongozi japo wanatokana na ss
Viongozi hawatoki Mars au Jupiter wanatoka humu humu kwenye familia zetu kuwa mwafrika inabidi ukubali kuwa mjinga maisha yako yote.

Hakuna mtu mwenye akili akaishi kwa furaha Afrika hasa kusini mwa jangwa la sahara wote wenye furaha ni wajinga au wamekubali kuwa wajinga milele
 
Ankoli kunywa bia
 
Mbibi kwa mkwara tu. Too old to threaten us. At your advanced age you should be busy arranging your burial arrangements and clarifying your will.
 
Hawa Kenge wanachowaza ni kupiga watu mitama na kunyangsnya leso na kaptura, akili finyu kabisa,
Nimecheka kwa sauti hapo kwenye kenge.

Yani Tanzania unaweza safiri zaidi ya kilomita 500 ukakutana na mapori manene yasiyoendelezwa. Halafu hawa jamaa wapo tu kusaka sare za mabakamabaka.

Huyu hapo chini anayatupiga fiksi Jeshi letu ni la sita kwa ubora angepelekwa kulima tupate chakula cha kutosha.
 
Nilisikia double headed snakes walikua wakutosha upande huu ndio maana ilikua rahisi kunyakuliwa wakiwa home ground tena asubuhi kweupe.
Itakuwa walikuwa wanasumbua raia kama wanavyofanya sasa
Na kwa jinsi walivyomazwazwa waliotewa wameongozana kwenda kutafuta maji
 
Itakuwa walikuwa wanasumbua raia kama wanavyofanya sasa
Na kwa jinsi walivyomazwazwa waliotewa wameongozana kwenda kutafuta maji

Doh! Nimeona hapo ni zaidi ya gari moja imechakazwa.


Tatizo mihemko + siasa.


Hii ya mavazi kuna mtu wao wanamtafuta wamempa siku saba bado hajafanya wanavyotaka sasa wanamfuata aliko.
 
Kwani "kusaka nguo zao mitaani" ni moja ya malengo ya kuanzishwa kwa JWTZ?
 
Usiwabeze ndipo tunapoenda,anakuja mtu mwenye fikra hizo aitwaye FDR!!

KWA hio hao jamaa Wana muandalia mazingira tu ajaye asiharibu kama hawa wafanyavyo!!

Wamelinda mipaka kwa miaka mingi wameona waje ki vingine!

KWA mtu mwenye akili hiyo operation no coded language ambayo wenye akili huko waliopo wanajua!!

Si vizuri kubeza hii operation NADHANI ni code FULANI wakubwa wanajua!!!

Tusibeze ngoja tuone matokeo yake!!
 
Jeshi kidogo lazima litupe mkwara kiaina lazivyo na sisi tutakuwa na vikundi vikundi vya magaidi Kama kwa wenzetu, hata ukiwa baba kidogo lazima utetemeshe kwako ili nidhamu iwepo nyumbani.
 
Hao waliotoa hilo tamko ni malimbukeni na wapumbavu tu kama wapumbavu wengine.
Wanashindwa ku-deal na vitu serious kama kuuzwa kwa raslimali za nchi, wanakaa kuhangaika na pet issues kama wananchi kuwa na sare za jeshi! Huu ni upumbavu. Kwani wakiwa nazo wananchi, wao wanapungukiwa nini? Si hata hivyo ni jeshi la wananchi? Kama ni jeshi la wananchi na wananchi wakivaa sare za jeshi lao kuna shida gani?!
Waache upuuzi bhana.
 
CCM haina kosa, kuna mtu huko CCM ndo afurushwe. Yupo madarakani bila kuchaguliwa halafu anaboronga.
Eti wanashindwa kudeal na issue kama hizo, wanakalia mambo ya kijinga kijinga hadi aibu!
Si waende wakajifunze Burkina Faso?!
 
Hayo ndio matumizi mazuri ya rasilimali muda ?

Bora yule aliyewapa kazi ya kulima na kuzalisha, hilo lilileta tija kwa jamii; huenda ifike wakati wapewe kazi kama hizi tena....
 
Hayo ndio matumizi mazuri ya rasilimali muda ?

Bora yule aliyewapa kazi ya kulima na kuzalisha, hilo lilileta tija kwa jamii; huenda ifike wakati wapewe kazi kama hizi tena....
Naunga mkono hoja Mkuu.
Walime, wafanye kazi zingine, tupaishe uchumi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…