Upo sahihi kwasababu hata alipokua anashughulika na hao matajiri alikua anatumia neno fisadi, kwahiyo hii ilikua shangwe sana kwa watu WA hali ya chini na walikua wanamuona jamaa ni mtetezi wa wanyonge haswaaa, bila kujali kama alikua anatenda sawa au fyongo.Mimi binafsi sikuwa na mkubali
Lakini nakuambia hivi, chunguzi zangu tangu Akiwa HAI na sasa hayupo, Magufuli anapendwa Sana na watu wengi(Watanzania wa Tabaka la chini)
Upo sahihi kwasababu hata alipokua anashughulika na hao matajiri alikua anatumia neno fisadi, kwahiyo hii ilikua shangwe sana kwa watu WA hali ya chini na walikua wanamuona jamaa ni mtetezi wa wanyonge haswaaa, bila kujali kama alikua anatenda sawa au fyongo.
Sijui kama atakuelewa, ila umemjibu kwa kiwango cha juu kabisa.
Tunahitaji uhalisia na uhakika usio na shaka hatuhitaji mambo ya hadithi.Wewe na kabendera mna tofauti gani?Mimi naandikia wanaopenda kusoma.
Mimi ninayeandika ndiye najua kipi cha kuandika na kipi nisiandike, nawe msomaji unahaki na maamuzi ya kuaumua kipi cha kusoma na kipi usisome.
So jukumu Lako kama msomaji sio kuniambia niandikeje kama Mimi nisivyo na jukumu la kukuamulia usomeje
All in all hakuna mkamilifu so alifanya alichofanya na amemaliza kiutawala na kidunia so angeachwa tu apumzike coz hizi blah blah zinazoemdelea haziwezi kubadilisha kitu na licha ya mabaya ambayo aliyafanya lakini pia kuna namna alileta kitu kipya kwenye utawala.Watu wengi wa chini walimpenda kwa sababu alikuwa akiwanyoosha wenye navyo
Ukweli ukikataliwa hugeuka kuwa Uongo na uongo ukikubaliwa huwa Ukweli.
Ukweli ni ishu ya kifalsafa lakini pia ukweli ni ishu ya kimahesabu
Lakini pia ukweli ni ishu ya kisayansi.
Mfano, watu wanasema siku hubadilika saa sita za usiku, na wengine wanasema siku hubadilika saa 12 jioni. Yupo hapo anasema kweli na yupi anasema Uongo?
Unahitaji wewe na Nani?Tunahitaji uhalisia na uhakika usio na shaka hatuhitaji mambo ya hadithi.Wewe na kabendera mna tofauti gani?
Unapenda ushahidi kwani wewe ni Mtoa hukumu?Wewe sio wa kwanza hapa JF kuandika mambo ya kufikirika ,Wapo wengi na huwa wanaelezwa walete takwimu na ushahidi wanashindwa
😂😂Tatizo la watu kujitungia mambo ndio watu wakashauri iwepo JAMII CHECK hapa JF
Lete chanzo cha takwimu zako kuwa magufuli alipendwa na watanzania wengi
Iliwekwa kura humu kati ya Samia, JK na Magufuli.Hizo takwimu za magufuli ndo Rais anayependwa sana umezitolea wapi ebu tuoe ripoti au ni fikra zako
..ukiupinga ukweli, kwa kudhamiria, au la, unaweza kupata madhara makubwa.
..John Magufuli alicheza na ukweli, ugonjwa wa korona, nadhani unajua kilichomtokea.
Nimeelewa sana hii phrase yako ya mwisho , uchambuzi makinikaKwa upande wa Wazungu, Kitabu hicho hakina mambo yoyote mapya ya kutisha KW sababu mambo yote yaliyotajwa humo kwa Wazungu sio mageni pale waonapo viongozi wa Afrika au nchi zisizoendelea au zinazoendelea.
Haya!
Aliua wangapi we pimbi?Katika marais waliowahi kuitawala nchi hii hakuna rais wa hovyo kama dikteta Magufuli na ndio rais aliyeua watu wengi akiwa ikulu.
Very hopeless indeed.
Ile ni kumbukumbu itakayokumbukwa na vizazi vijavyoLeo nimesikiliza mahojiano ya kabendeea na mwandishi Ghassani,...mwanzoni TU amesema lengo la kuandika kitabu kile ni Dunia ifahamu kilichotokea katika utawala wa yule mtu mbaya,yes ni mtu mbaya kabisa na muovu...na akasema kabisa mwanzo wa kitabu amejaribu kuelezea dondoo chache kuhusu nchi ya Tanzania ili mtu yeyote duniani akisoma ajue inazungumzwa nchi Gani. Leteni porojo zenu lakini Kabendera amefanya kitu kikubwa sana ili kuweka historia sawa. Shetani keshalala kule inatosha.
Ukweli Halisi haupingwi lakini ukweli wa kutunga unaweza kupingwa.
Au tunasema ukweli wa kifalsafa unaweza kupingwa ukawa uongo
Hata kitabu kilichoandikwa hakina Vivid data….. yaani data ambazo can be checked and verified beyond doubt but UMEKIAMINI. Ila unabisha suala la JPM kuwa ni kipenzi cha watu…. Nakuhoji data zimetoka wapiNa wewe ni wale wale tu kama kabendera,Hakuna tofauti ya wewe na yeye
Umejaa mambo ya hearsay
Umehoji kundi la wasukuma halafu unatoa hitimisho watanzania kumbe umehoji kundi la wasukuma wa kabila lake
Takwimu kuwa magufuli alipendwa sana umezitoa wapi ?
Kama kitabu hujakisoma unatoa wapi nguvu ya kuandika vitu ambavyo unavisikia bila uhakika huo ni umbea tu
Unapoongelea Tanzania kwani Magufuli alikuwa ana mamlaka zanzibar? Umewahi uliza wanzibar kama walimpenda Magufuli?
Kama hawasomi vya Kiswahili, wewe inakuhusu nini wewe bwege? Ubongo ni smart ndiyo maana naona umeandika mavi. Hujui ulichoandika, unaongea ujinga, kumbe kitabu chenyewe hukusoma na wala hujakiona. Tuulize tuliopitia angalau muhtasari wa kitabu. Eti Magufuli alipendwa sana? Hivi wewe upo mzima kichwani, unapindisha ukweli kwa sababu zako. Mara eti watanzania wote wakisome....Hivi wewe una shida gani? Kwa akili yako unadhani watanzania wote Mil. 62 wanaweza kukisoma? Unapoongelea English au Kiswahili umeshaenda kwenye matabaka kaka, unapoongelea kitu chochote chenye kuonyesha section fulani hainufaiki, umeongelea matabaka. Ni kwamba umeongea kitu bila ya wewe mwenyewe kufahamu. Ndiyo maana ninakuwa na wasiwasi wa uelewa wako.Unazungumzia mambo usiyoyaelewa.
Watanzania hivyo vitabu vya Kiswahili vyenyewe hawasomi sembuse vya kingereza?
Hayo Mengine ya Matabaka nafikiri ubongo wako umejigusa baadhi ya nerves, zikatoa kitu kingine ambacho Mimi Wala sijakisema