Nilitaka Kuweka sawa lipo moja , Muhammad anasema tusipoliona Yani usiku linakuwa limeenda kusujudu he ni kweli au Muhammad aliteleza ulimi?Nani amesema yako mawili ?
Linaenda kusujudu kwa Mola wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka Kuweka sawa lipo moja , Muhammad anasema tusipoliona Yani usiku linakuwa limeenda kusujudu he ni kweli au Muhammad aliteleza ulimi?Nani amesema yako mawili ?
Linaenda kusujudu kwa Mola wake.
Kama ni kweli usemavyo kuwa Afrika ilipoteza asili yake kwa kuacha kuabudu Mungu wa asili yao na kuabudu imani za watu wengine nanidhahiri kuwa ndicho chanzo cha mkanganyiko na matokeo ya maisha yetu ya leo kiimani na kifizikia.Kuanza kuhoji tu undani wa hizo dini zenu inaonesha tayr akil yako imeanza kufanya kazi kutoka kwenye vifungo vya iman za kishenz ambazo zlikuja kuiharibu akili ya mtu mweusi.
Kwa wengine wa imani zenu ni kufuru kuuliza ama kuhoji maswal kama yako maana utaonekana mpagani na mtu asiyemuogopa huyo Mungu wa peponi sjui mbinguni.
Kimsingi imani na dini zote si sahihi maana ukifuatilia zote kiundan zinamakosa na zote zipo chini ya lengo moja na muanzilishi mmoja aliekuwa na targets zake kwa jamii fulani.
Kiuhalisia dini zote asili yake ni imani za kishirikina ambazo ziliabudiwa na mababu wa kiafrika ya kale yaani misri na sehem zingine baran Africa, na baada ya ujio wa races za watu weupe na kuanza kustaharabika wakazicopy hizo imani na kuzistaharabisha kwa kubadili histories, majina na wahusika wa hizo imani na ndipo ujio wa dini na misahafu ukaanzia hapo.
Uwez sema asiemuamini Allah atachomwa moto wakat hiyo dini imaenza juzi tu miaka ya 1400 iliyopita, na kabla yake kuna maelfu ya imani zilikuwepo kabla yake.
Na huwez sema asiyemuamn yesu atachomwa moto wakat kbla ya miaka 2000 kuna wakina Osiris, azazel, Krishna waliwai kuwepo kabla yake na walikuwa na miujiza kama ya huyo yesu na hawa ndio origin copies za stories za jesus ambao nao asili yao ni miungu ya waafrika wa kale.
Hakuna ukwel ktk dini ndiomaana mnapingana ninyi kwa ninyi.
Ni bora usiamin dini na miungu yake, kulko kuwa mpumbavu usiyejua nini unachokiabudu na kuipa sifa jamii fulani iliyokuletea uo upuuzi.
Mungu yupo lkn si huyo mnaemuabdu ktk magenge yenu ya dini.
Muumba wa kweli hana haja na dini ili umjue, bali kufuata sheria za uumbaji, upendo kwa viumbe wake na kutii sheria za , jamii yako unayokuzunguka.
Mbingu na motoni hazipo na hazitowai kuwepo maana ziliundwa na hao wana dini ili kuwatisha watu na kuwafanya waoga na watumwa wa imani.
Mtakesha kusubiri ujio wa hivyo viumbe vyenu na havitorudiii maana havijawai kuwepo.
Kupinga mafundisho ya dini isiwe kigezo cha kumuita mtu mpagani, maana hata wew unakuwa mpagani kwa kuikana imani ya uafrica na kukumbatia imani za mtu mweupe ambazo ni uongo na copy ya ile origin ya imani za babu zako.
View attachment 2201191
Mwenyezi Mungu ni mmoja, kwanza tuelewane jina lake ni nani?
Kama tunakubaliana Mwenyezi Mungu ni mmoja basi hatuna budi kukubaliana pia kuwa Dini ni moja. Haiwezekani Mwenyezi Mungu mmoja awe na dini nyingi kwa maagizo tofauti tofauti.
Binafsi Nnaamini Mwenyezi Mungu ni mmoja na Dini ni moja tu, nayo ni Uislam. Dini na madhehebu yake mengine yote ni mambo ya tamaa za kibinaadam za wagawe uwatawale (Divide and rule).
Unachofanya ndugu kisai ni kuweka madai tu ilhali kila mtu anaweza kuwa na madai yake.Makadiani wanapingana na Qur'aan na mafundisho ya Mtume,
Mkuu huu uzi waliufuta ?Hii ni namna ambayo wewe binafsi umeamua kuitafsiri dini
Kuna member anaitwa ROBERT HERIEL huyu anakuambia ukristo ni upendo, kwa maana hiyo hata wewe hapo ni mkristo endapo una upendo wa jambo lolote
uliamishiwa jukwaa la dini kwani hauna access ya jukwaa la dini?Mkuu huu uzi waliufuta ?
Nakumbuka ulinitag kule ila sikuuona tena..
Huyu jamaa kwa sheria zake na namna ambavyo anatafsiri uislam anaweza kujikuta JF nzima muislam ni yeye peke yakeUnachofanya ndugu kisai ni kuweka madai tu ilhali kila mtu anaweza kuwa na madai yake.
Kama ambavyo watu wanasema salafi wanaingiza watu motoni hayo ni madai kama yalivyo madai yako.
Kuthibitisha madai hayo inatakiwa watu walete ushahidi wapi salafi wanaingiza watu motoni.
Na wewe kuthibitisha madai yako unatakiwa uweke ushahidi wapi kadiani amempinga mtume na KUipinga qurani ?
Unaweza kuweka aya moja au hadithi moja kuonesha ambapo kadiani wamempinga mtume ili kufanya madai yako yawe na maana.
At least angejitahidi kuwa politely kwenye hoja ange sound vyema, kutumia maneno machafu kutetea visafi ni confusionUnaona ndugu, huu ni mwezi mtukufu wa Ramadhani na ninajaribu sana kujiepusha na mjadala ambao hautakuwa na tija ili nisije kuharibu funga yangu kwani uzoefu nilionao juu ya watu waongo na wazushi wa aina hii ni kutumia lugha chafu pindi watakapozidiwa na hoja.
Kwanza Kumwita mtu jina lisilokuwa lake hiyo ni kama tusi, sisi ni Waisilamu wa Ahmadiyya, tunajiita hivyo na tunajulikana hivyo na tungependa tujulikane hivyo, jina jingine la kupewa na wapinzani wa Jumuiya ya Ahmadiyya ni katika njia ile ile ya kuthibitisha midomo michafu ya wapinzani hao dhidi yetu.
Uongo mwingine ni huu; kwamba Swala yetu ni kinyume na jinsi wanavyoswali Waislamu wengine na hilo anadai linapatikana katika vitabu vyetu na magazeti yetu, sasa mwambie kama yeye ni mkweli aonyesha kitabu chetu cha Swala au gazeti letu ambamo tunaweza kupata ushahidi wa hicho anachosema ----kwani njia ya muongo ni fupi.
Ipo hivi; jumuiyya ya Waislamu wa Ahmadiyya ni jumuiyya inayokua kwa kasi kubwa DUNIANI kuliko Jumuiyya za DINI ZOTE, hilo ni jambo linalowapa khofu kubwa sana Wapinzani wa Jumuiya ya Ahmadiyya licha ya upinzani wao wameshindwa kuzuia maendeleo ya hii jumuiya wamebaki kutukana, kulalama na macho, povu na mashipa ya shingo inawatoka hawajui cha kufanya.
Unafanyaje kuingia huko..uliamishiwa jukwaa la dini kwani hauna access ya jukwaa la dini?
Mara nyingi nyuzi zikipelekwa kule ndio huwa mwisho wake kwasababu wengi haana access
Ongea na mods au melo akupe accessUnafanyaje kuingia huko..
👍Ongea na mods au melo akupe access
At least angejitahidi kuwa politely kwenye hoja ange sound vyema, kutumia maneno machafu kutetea visafi ni confusion
Huo ndio ukweli, ikiwa tu unaelewa maana ya neno "dini".Tokea mwanzo mpaka mwisho umemaliza vizuri sana kasoro pale tu "Dini ni moja tu, nayo ni uislam" hii inadhihirisha ni namna gani bado hauko tiyari kufikia muafaka wa jambo hili. Labda nikupe maoni yangu binafsi ni kuwa hili upate suluhu katika hili nilazima ujikane kwanza(uvae viatu vya wengine) na kama ukishindwa kufanya hivyo FaizaFoxy basi kubaliana na walioleta confusion hiyo na dogma inayowataabisha sasa kuwa walitumia akili kubwa mno na mtaendelea kuifuata milele mpaka siku mtakapoamua isiwe hivyo kwa sababu ndiyo lilikuwa kusudio lao katika kuifanya iimarike na iwe na ushindani sokoni kwa kipindi cha muda mrefu zaidi.
Mtume hasemi uongo.Nilitaka Kuweka sawa lipo moja , Muhammad anasema tusipoliona Yani usiku linakuwa limeenda kusujudu he ni kweli au Muhammad aliteleza ulimi?
Thibitisha haya maneno yako uliyobwabwaja hapa.
Unaiamini biblia?Mk 12:29-31 SUV
Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja; nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote. Na ya pili ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi.
Uongo tu huo.Kuna ukweli wowote kuwa kila aliyehifadhi lazima apate msaada wa majini/anamajini?
Maana ya Neno Uislamu KilughaSifahamu zaidi ya kujua kuwa ni dini
“Je, wanataka dini isiyo kuwa ya Mwenyezi Mungu, na hali kila kilichomo mbinguni na katika ardhi kimesilimu kwa kumtii Yeye kikipenda kisipende, na kwake Yeye watarejeshwa?" (Aal-i Imran, 3/83)