Kabla sijafa, lazima nioe wake wengi

Ila Bujibuji Simba Nyanaume hujasema bado ni kipi unakikosa kwa huyo mke mmoja
 
Oa wanyaturu na warangi bila kusahau Wahaya utakuja kunishukuru
 
Mto wenye vyanzo vingi haushiwi maji we binti. Oa wake zako sita, ishi raha mstarehe [emoji1] tena unatafta shamba kubwa kama bwana nguzu wanakuwa wanachapa kazi humo
Aaah eti kama Bwana Nguzu,,ila kwa wake zake Shupiwe kiboko anamwendesha sana hadi raha safi sana huo ndio uafrika asilia

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Manabii watakuja kukwambia jini mahaba na maroho ya uzinzi ndio yanayo kuchanganya.
Wanashindwa kuelewa kuwa hakuna mwanaume rijali anaeridhika na mwanamke mmoja.
 
Na michepuko ndo mpango
Maua mauua
Manabii watakuja kukwambia jini mahaba na maroho ya uzinzi ndio yanayo kuchanganya.
Wanashindwa kuelewa kuwa hakuna mwanaume rijali anaeridhika na mwanamke mmoja.
Mfalme Daudi hakuwa na mke mmoja.
Suleiman baba wa hekima alikuwa na Kijiji Cha wanawake.
Hawa manabii wengi ni wachumia tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…