Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Unaujua ugonjwa wa pangusa? Dudu inaliwa hadi iinakatikaMagonjwa mengine hata kumsimulia dokta ni aibu.Duh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaujua ugonjwa wa pangusa? Dudu inaliwa hadi iinakatikaMagonjwa mengine hata kumsimulia dokta ni aibu.Duh!
Mbususu Zina Nini? Mbona zinawatoeni akili?Kutubu natubu Ila msimamo upo palepale.Hahahahaaa
😂😂😂😂😂😂Unakuwa mkoma wa katikati ya mwili?Unaujua ugonjwa wa pangusa? Dudu inaliwa hadi iinakatika
Dah!Kila nikitafutiza sababu najikuta nimesahau za awali.Mbususu Zina Nini? Mbona zinawatoeni akili?
Hujatupa mrejesho wa mchepsKama suleimani alioa wake 700 na masuuli 300
Mimi Ni Nani Hadi nikupinge[emoji4]
Tena mkubwa sanaMke mmoja analeta ulemavu
Nshatoa mbona chief[emoji4]Hujatupa mrejesho wa mcheps
Ila Bujibuji Simba Nyanaume hujasema bado ni kipi unakikosa kwa huyo mke mmojaMimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuooa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja.
Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi.
Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana.
Manabii karibuni mnisimange
Oa wanyaturu na warangi bila kusahau Wahaya utakuja kunishukuruMimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuooa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja.
Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi.
Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana.
Manabii karibuni mnisimange
Aaah eti kama Bwana Nguzu,,ila kwa wake zake Shupiwe kiboko anamwendesha sana hadi raha safi sana huo ndio uafrika asiliaMto wenye vyanzo vingi haushiwi maji we binti. Oa wake zako sita, ishi raha mstarehe [emoji1] tena unatafta shamba kubwa kama bwana nguzu wanakuwa wanachapa kazi humo
Manabii watakuja kukwambia jini mahaba na maroho ya uzinzi ndio yanayo kuchanganya.Mimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuooa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja.
Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi.
Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana.
Manabii karibuni mnisimange
Maua mauuaNa michepuko ndo mpango
Mfalme Daudi hakuwa na mke mmoja.Manabii watakuja kukwambia jini mahaba na maroho ya uzinzi ndio yanayo kuchanganya.
Wanashindwa kuelewa kuwa hakuna mwanaume rijali anaeridhika na mwanamke mmoja.
DuhhOa wanyaturu na warangi bila kusahau Wahaya utakuja kunishukuru
Nakosa wingiIla Bujibuji Simba Nyanaume hujasema bado ni kipi unakikosa kwa huyo mke mmoja
Tuwe na nini tena zaidi ya DUDUKILA.Wanaume mna nini lakini?
Kama kamanda mzee MSUGURI.Naunga mkono hoja, ukioa wake wengi hufi mapema