Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Ni ubatili mtupu na sawa na kujilisha upepo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa muktadha wa thread hiiMimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuooa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja.
Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi.
Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana.
Manabii karibuni mnisimange
Ama kweli dunia imekwishaBora uchepuke kuoa sikushauri
Kupanga ni kuchagua..... Hakikisha tu kwamba una nguvu za Kiume na za Mfukoni za kutosha.....Mimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuooa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja.
Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi.
Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana.
Manabii karibuni mnisimange
Wanasema dunia ina maajabu yake ukiacha pesa na majumba ni wanawake (mbususu)Mbususu Zina Nini? Mbona zinawatoeni akili?
Kabisa nawashangaa sana wanaosema eti Bucha ni lile lileTena mkubwa sana
Obasanjo alioa wake kama nane hivi.Naunga mkono hoja, ukioa wake wengi hufi mapema
UmedataWanasema dunia ina maajabu yake ukiacha pesa na majumba ni wanawake (mbususu)
Kama Abrahamu tu alikula kijakazi wake hajra japokuwa alikuwa na mke sarah
Solomon alikula mke wa mwanajeshi wake . nadhani kula wake za watu kulianza hapa
Samsoni na ubabe wake mbususu ya Delilah ikamtuliza na ikamponza
Adamu alikatazwa asile tunda la mti wa kati ( inasemekana ni mbususu) uzalendo ukamshinda akala
Sembuse mimi kunguru wa Manzese nitaweza wapi kujizuia nisile mbususu
We acha tu hakuna kama mbususu
Kwa hiyo Nyerere angefuata nyayo za Msuguri angeishi, eti ehhObasanjo alioa wake kama nane hivi.
Mpaka Leo bado yupo.
Kutekeleza matakwa ya mke mmoja kunaleta stress Sana.
Ukiwa nao wengi unadeal na mambo yako zaidi
Mama weeeeKuwa na Pesa halafu uwe na Mke mmoja ni "MATUMIZI MABAYA YA PESA"
Upendo wa agape shostiw
e mwanamke umempendeaje mwanamke mwenzio😳😏
PoaKupanga ni kuchagua..... Hakikisha tu kwamba una nguvu za Kiume na za Mfukoni za kutosha.....
Kuowa mke mmoja ni amri ya mtu, na kuowa wake wengi ni amri ya Mwenyezi Mungu.Fikiria wanaume wako wachache,haohao wanaume ndiyo wanaoongoza kwa kufa kwa kufanya kazi hatarishi,mfano Wanajeshi,Migodini,Madereva,n.k.Mimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuooa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja.
Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi.
Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana.
Manabii karibuni mnisimange
Bujibuji Simba Nyanaume kwanza kabisa hongera kwa ushindi mlioupata jana dhidi ya Berkane, nyie kweli ni Simba Nyanaume si viluilui vya Jangwani vyenye roho mbaya kuzuia nyie msinywe maji kule Lupaso (Kwa Mkapa). Mungu hajakataza mtu kuoa wake wengi, story nyingi za Quran na Biblia ni uzushi tu na hazina mashiko yoyote. Kuna kipindi Mohammad alikuwa na wake 13 akawaacha wengine (kwa kupunguza) mpaka akabakiwa na 7 tu.Mimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuooa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja.
Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi.
Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana.
Manabii karibuni mnisimange
Sawa. Mama yako anajua lakini au ni Siri yako?Ndio nimedata
Ila na mbususu
Mazombie wa @falme Zumaridi.Bujibuji Simba Nyanaume kwanza kabisa hongera kwa ushindi mlioupata jana dhidi ya Berkane, nyie kweli ni Simba Nyanaume si viluilui vya Jangwani vyenye roho mbaya kuzuia nyie msinywe maji kule Lupaso (Kwa Mkapa). Mungu hajakataza mtu kuoa wake wengi, story nyingi za Quran na Biblia ni uzushi tu na hazina mashiko yoyote. Kuna kipindi Mohammad alikuwa na wake 13 akawaacha wengine (kwa kupunguza) mpaka akabakiwa na 7 tu. Kijana Yakobo kwenye Biblia alikuwa na wake lukuki, mfalme Solomon alikuwa na wake 700 na girlfriends 300. Yet, bado watu wanaamini tu upuuzi wa kwenye hivi vitabu. Wewe kama uwezo unao oa tu kwani lengo la wewe kuwa mwanamme ni kuja hapa duniani kuzalisha wanawake na kuwatunza, HAKUNA aliyekukataza. Ukifuata hizi dini utapotoka mshikaji maana zinakufanya uwe mjinga daima. Angalia watu wanaojikita kwenye dini, ni kama mazombie fulani hivi yasiyo na akili za kufikiri mpaka waambiwe na sheikh ama mchungaji.
Dini my haimtakii wema mtu mweusi.Bujibuji Simba Nyanaume kwanza kabisa hongera kwa ushindi mlioupata jana dhidi ya Berkane, nyie kweli ni Simba Nyanaume si viluilui vya Jangwani vyenye roho mbaya kuzuia nyie msinywe maji kule Lupaso (Kwa Mkapa). Mungu hajakataza mtu kuoa wake wengi, story nyingi za Quran na Biblia ni uzushi tu na hazina mashiko yoyote. Kuna kipindi Mohammad alikuwa na wake 13 akawaacha wengine (kwa kupunguza) mpaka akabakiwa na 7 tu. Kijana Yakobo kwenye Biblia alikuwa na wake lukuki, mfalme Solomon alikuwa na wake 700 na girlfriends 300. Yet, bado watu wanaamini tu upuuzi wa kwenye hivi vitabu. Wewe kama uwezo unao oa tu kwani lengo la wewe kuwa mwanamme ni kuja hapa duniani kuzalisha wanawake na kuwatunza, HAKUNA aliyekukataza. Ukifuata hizi dini utapotoka mshikaji maana zinakufanya uwe mjinga daima. Angalia watu wanaojikita kwenye dini, ni kama mazombie fulani hivi yasiyo na akili za kufikiri mpaka waambiwe na sheikh ama mchungaji.
Bado wanaume wengine wamezaliwa wakiwa mahanithi.Kuowa mke mmoja ni amri ya mtu,na kuowa wake wengi ni amri ya Mwenyezi Mungu.Fikiria wanaume wako wachache,haohao wanaume ndiyo wanaoongoza kwa kufa kwa kufanya kazi hatarishi,mfano Wanajeshi,Migodini,Madereva,n.k.