Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene


SS majini ambayo ht aliyeokoka Leo anayatimua Kwa jina la Yesu
Je wanaoomba na kuyatimua majini yaliyomzunguka na yaliyo ndani yake wapo?
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Sasa hivi hatuwaiti manabii au watabiri bali tunawaita wapiga ramli!
 
Kwani sheikh yahya si alishakufa au kuna mwingine amezaliwa?
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Mmh, unajiongelesha tu, ili likitokea lolote, useme kwamba ulisema..
 
Mkuu, Machiavelli alielezea hii "Why the most stupid people ends in power" hapa
View: https://youtu.be/Ix4nKNDKhTQ?feature=shared
Kama nchi, tunahitaji kuwatoa hawa watu kwenye system. Case study ya modern times walioweza ni Singapore
 
Natabiri kufikia mwaka 3050 wana JF hatutakuwa hai.

Nina uhakika na ninachosema.
Kuna mahali nimesoma this week, kwamba kwa mujibu ya watafiti wa kisayansi,kuanzia mwaka 2050 mtu kufariki itakuwa ni "optional" - yaani ukichoka kuishi utaamua mwenyewe kufa. Wameshagundua hadi mbinu za kuzuia tusizeeke. Stay tuned
 
Je wanaoomba na kuyatimua majini yaliyomzunguka na yaliyo ndani yake wapo?
Tupo kibao
KwanZa hiyo level ya chini
Ulimwengu wa roho una level, iwe kwenye Nuru au giza Kuna level

Deep, deeper and deepest!
Kwa sisi huku wa nuruni vile unavyomtafuta Mungu ,kusoma neno lake,kuomba,kufunga ndo nguvu za Mungu zinaongezeka, vice versa is true!

Ht shetani au watu wanaotumika upande wa pili wanajua , rejea ,matendo ya mitume pale , wale Wana wa skewa walikuwa wanamtoa mtu mapepo ,wao walijua ni biashara km walivyomuona mtume Paulo anafanya kufungua watu pepo likawajibu," Paulo tinamjia ,Yesu tinamjia ,nyinyi ni nani?....."

So kabla hujaingia kupambana jua level Yako .
Efeso 6:10 utaona level za ulimwengu wa roho" kivita"....
So wapoo Kwa level tofauti

Sshv kwanza hatuhangaiki na majini,mapepo cheo Cha chini hiko ,hii ni vita ya "falme" rank ya mwisho kabisa ....
 
Umechungulia kwa babu au?πŸ€”
πŸ˜³πŸ™„πŸ˜Babu ? Wa nn Babu na Mungu yupo na anasema Kila siku na Kila mtu.

Ht we ukimuuliza atasema tu .
Njia moja wapo rahisi ya Mungu kusema ni pale unapoliombea jambo
Huwezi tenga muda wako ukaombea nchi halafu Mungu asikupe taarifa , never!
Lzm akupe taarifa Ili ujue namna ya kuombea ,km Kuna vya kuzuia au taarifa ya yajayo ,etc
Amosi 3:7, Ayubu 33:14-17
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…