Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Hapo mwishoni nimecheka sana
 
Taahira ni yule anayedai watu kutekwa na kupotezwa/ kuuawa ni drama, na huyo hata wewe mwenyewe unamfahamu vyema, mikono yake imejaa damu, hadi msaidizi wake kaamua kukataa kazi.
Una maanisha msaidizi wake yule mapete?
 
Nyoka ndiye kiumbe mwerevu kuliko hayawani wote mwituni sifa yake ya kwanza hiyo. Sifa ya pili ni jinsi anavyoweza kudhuru kwa sumu yake. Chakata taarifa kisha husianisha na uhalisia wa mambo kule Bukinafaso!
Hapa umenifungua na mie...
 
Mbona unapenda kutishia watu? Kila muda kucha zangu, kucha zangu!

Acha hizo mkuu.
 
Mbona unapenda kutishia watu? Kila muda kucha zangu, kucha zangu!

Acha hizo mkuu.
Kiongozi kuna watu hawajui utani huko serikalini ukijafanya unawajua sana.

Lazima uchunge mdomo wako, vinginevyo wananyofoa kucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…