Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Kesho tarehe 29 tutarajie jambo?

yoga anatutia woga eti tunae mpaka mwisho, na kwamba born town yupo ahead of time. Kampuni shindani inaenda kufilisiwa jumla na wakurugenzi na mameneja wake SUKUMA NDANI. Hayo yana ukweli wowote?
 
" Nyoka kuingia shimoni kinyume nyume maana yake nini? High Class CODES.
 
shida sio samia
shida ni ccm.
alikuwepo magufuli katili kaondoka ccm imebaki.
kaja huyu katili mwingine nae ataondoka ccm itabaki.
Shida sio CCM kwa sababu CCM ni jina la chama tu ndani yake kuna watu ambao ndio tatizo sugu na chanzo cha umaskin na ujinga wa watanganyika
 
Point 7 na3 za Tanzania si kipimo Cha intelligence,amini tu...Wachache sana Wana reflect hizo number..wengi ni Cramer intuition zao fupi kama mbilikimo
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Hakuna cha mwezi july wala mwezi oktoba hali ni shwari gharika imetulia kabisa
 
Reactions: Ame
Hawawezi kuwa na uchungu na nchi sababu mtu kama Mwigulu ameshaanza kumuandaa mtoto wake kushika hizo nafasi, unategemea dogo kama yule atakuja kuwa na uchungu na hii nchi lini?
Hawa vibopa watatu wa Kanda ya kati wamethibitisha kabisa uwezo wa jamii Yao ambayo tangu zamani huwa hawaaminiki katika misimamo Yao, wapo tayari kuhamia Kwa mtu kuwa watumwa Kwa ujira wa sahani ya ugali tu....Very cheap beings, I am told.

Mambo wanayofanya ni aibu Kwa nchi yetu. Na huyo msema sana nadhani Kuna sehemu kaahidiwa sahani ya ugali akauza nchi mazima japo anajidai ana misimamo...Be warned, Hawa ndugu hawaaminiki eti niliambiwa na wazazi wangu hivyo Sina uhakika ila nikamanimethibitisha sasa...
 
Usiijibu radio maana frequency zake huzijui endelea na mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…